Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 47,853
- 41,180
Maisha ya kuajiriwa ni mazuri kiasi na ni mabaya
PAYE ina haja kubwa sana ya kuhusianishwa na TIN.Nusu ya mshahara yote inaenguliwa. Mbaya zaidi wafanyakazi hawatambuliki kama walipa kodi wazuri. Ndio maana kuna haja haya makato ya PAYEE yahusianishwe na TIN ya mfanyakazi.
Bodi ya mikopo ni janga lingine kwa waliosomeshwa kwa mkopo, hilo deni haliishi isipokua ulipe kwa mara moja.
Fao la uzeeni nalo kulifaidi ni nadra, hasa kwa hizi sheria mpya.
Umeuiliza na kujijibu vyema sana..Kama alivyosema ISO M.CodD ,WCF hakatwi mwajiriwa. Ni kama ilivyo SDL ambayo pia sio mzigo wa mwajiriwa. Ni mwajiri hulipa hizi.
Vyama unamaanisha kama TUICO, TUGHE, etc au?
Vipi mkuu?
Those are all optional mkuu...Umeuiliza na kujijibu vyema sana..
Naona unachanganja mfuko wa majanga kazini na vyama vya wafanyakazi
So hapo vyote ni lazimaPAYE 18%+Loan board 15%+NSSF 10%+Insurance 42000/=+vyama vya wafanyakazi 20,000+=approx. 803000/=
Ujamkata advance salary tehNakujibu Kama Payroll Accountant ambae kazi ya Kulipa mishahara ndio my main daily duty. Kwanza kabisa taarifa ulizoweka ni chache sana kaka yangu. So itabidi taarifa zingine niwe na assume tu.
Assumption #1
Tzs 1,300,000/= ni gross (basic + all other benefits).
Assumption #2
Haulipi NHIF wala vyama vya wafanyakazi
Assumption #3
Uko Private, au unachangia NSSF
Deductions,
NSSF = 10% X 1,300,000/=
= 130,000/=
So Taxable
= 1,300,000 - 130,000
= 1,170,000
PAYE
= (1,170,000-720,000) x30% +98,100
= 450,000 x30% + 98,100
= 135,000 + 98,100
= 233,100
HESLB
=1,300,000 X 15%
=195,000/=
Net Salary
= 1,300,000- 130,000-233,100-195,000
= 1,300,000- 363,100-195,000
= 741,900/=
Mkuu nimekukubali kweli wewe ni mhasibu wa payroll maana umemshushia uhakika mtupu! Kazi kwake sasa kusuka au kunyoa! Ila vijana wa siku wanaboa sana yaani kameambiwa gross 1.3 m kanaanza kuwazawaza wakati wenzake wanakimbilia hata wakiambiwa gross ni laki 6!Nakujibu Kama Payroll Accountant ambae kazi ya Kulipa mishahara ndio my main daily duty. Kwanza kabisa taarifa ulizoweka ni chache sana kaka yangu. So itabidi taarifa zingine niwe na assume tu.
Assumption #1
Tzs 1,300,000/= ni gross (basic + all other benefits).
Assumption #2
Haulipi NHIF wala vyama vya wafanyakazi
Assumption #3
Uko Private, au unachangia NSSF
Deductions,
NSSF = 10% X 1,300,000/=
= 130,000/=
So Taxable
= 1,300,000 - 130,000
= 1,170,000
PAYE
= (1,170,000-720,000) x30% +98,100
= 450,000 x30% + 98,100
= 135,000 + 98,100
= 233,100
HESLB
=1,300,000 X 15%
=195,000/=
Net Salary
= 1,300,000- 130,000-233,100-195,000
= 1,300,000- 363,100-195,000
= 741,900/=
Hii imekaa poa mkuu!Nimekuingizia kwenye payroll software.
Salary slip yako itakuwa na mfanano huu.
View attachment 1173130