Yohana Kilimba JF-Expert Member Joined Dec 25, 2012 Posts 8,105 Reaction score 5,635 Aug 24, 2016 Thread starter #141 allan clement said: nadhani hela zimepelekwa kule kwenye kuvunja ukuta Click to expand... Ahahaha
2hery JF-Expert Member Joined May 27, 2011 Posts 4,700 Reaction score 4,630 Aug 24, 2016 #142 Na hivi mkuu ashawaruhusu watu kufyatua...huko ndani ya pembe nne za UKUTA hakitaeleweka.. Hebu wapeni kilicho chao
Na hivi mkuu ashawaruhusu watu kufyatua...huko ndani ya pembe nne za UKUTA hakitaeleweka.. Hebu wapeni kilicho chao
iparamasa JF-Expert Member Joined Nov 14, 2013 Posts 13,437 Reaction score 14,934 Aug 24, 2016 #143 chuma cha mjerumani said: Ndo maana niliona polisi wakila mihogo wakati wa mazoezi mtaani. Kumbe tatizo ni mshahara. Click to expand... WanaendaWanaenda lindo na njaa mpaka wanakutwa na bwana pepsi
chuma cha mjerumani said: Ndo maana niliona polisi wakila mihogo wakati wa mazoezi mtaani. Kumbe tatizo ni mshahara. Click to expand... WanaendaWanaenda lindo na njaa mpaka wanakutwa na bwana pepsi
BUMIJA JF-Expert Member Joined Oct 19, 2011 Posts 6,182 Reaction score 11,782 Aug 24, 2016 #144 Nimeangalia saa5:00Pm Badooooo
BUMIJA JF-Expert Member Joined Oct 19, 2011 Posts 6,182 Reaction score 11,782 Aug 24, 2016 #145 Tunaisoma namba
Nas Mapesa JF-Expert Member Joined Jul 31, 2014 Posts 5,286 Reaction score 5,423 Aug 24, 2016 #146 BUMIJA said: Tunaisoma namba Click to expand... Yaani hata tusio ba hatia tunqsomeshwa namba hatari sana hii
BUMIJA said: Tunaisoma namba Click to expand... Yaani hata tusio ba hatia tunqsomeshwa namba hatari sana hii
Sagungu 1914 JF-Expert Member Joined Jun 21, 2016 Posts 943 Reaction score 617 Aug 24, 2016 #147 Sisi tunawaza kuwangusha ukuta halafu unakuja na gia ya mshahara hapa,tena wewe.
maneka JF-Expert Member Joined Jul 30, 2015 Posts 835 Reaction score 1,193 Aug 24, 2016 #148 Kiukweli maisha hayana ratha kabisa. Maisha magum sana. Mshahara ni shida ukichelewa
Lupweko JF-Expert Member Joined Mar 26, 2009 Posts 24,940 Reaction score 26,796 Aug 24, 2016 #149 lunch sijapata halafu kwenye daladala nimesimama
Nas Mapesa JF-Expert Member Joined Jul 31, 2014 Posts 5,286 Reaction score 5,423 Aug 24, 2016 #150 Hii nchi ya ajabu sana,yaani toka tar 22 mwezi uliopita walishindwa kurekebisha matatizo yao mpaka watuumize namna hii,sijui nikashtaki wapi
Hii nchi ya ajabu sana,yaani toka tar 22 mwezi uliopita walishindwa kurekebisha matatizo yao mpaka watuumize namna hii,sijui nikashtaki wapi
radika JF-Expert Member Joined Jul 15, 2014 Posts 20,450 Reaction score 32,290 Aug 24, 2016 #151 Nchi ya ajabu sana.
linguistics JF-Expert Member Joined Jun 22, 2014 Posts 4,732 Reaction score 4,393 Aug 24, 2016 #152 radika said: Nchi ya ajabu sana. Click to expand... Tumeipenda wenyewe....chaguo letu milelee...
Trichuris Trichura Member Joined Sep 26, 2014 Posts 82 Reaction score 22 Aug 24, 2016 #153 radika said: Nchi ya ajabu sana. Click to expand... Tayari washaweka boss tembelea nmb atm.....ila katunyoosha
radika said: Nchi ya ajabu sana. Click to expand... Tayari washaweka boss tembelea nmb atm.....ila katunyoosha
Lupweko JF-Expert Member Joined Mar 26, 2009 Posts 24,940 Reaction score 26,796 Aug 24, 2016 #154 Trichuris Trichura said: Tayari washaweka boss tembelea nmb atm.....ila katunyoosha Click to expand... Acha masihara mkuu, ujue kuna watu wanadhalilika?
Trichuris Trichura said: Tayari washaweka boss tembelea nmb atm.....ila katunyoosha Click to expand... Acha masihara mkuu, ujue kuna watu wanadhalilika?
Mr Q JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 21,083 Reaction score 47,025 Aug 24, 2016 #155 WAMEWEKA ILA HAKUNA BADILIKO LOLOTE OVER.
linguistics JF-Expert Member Joined Jun 22, 2014 Posts 4,732 Reaction score 4,393 Aug 24, 2016 #156 Kapwila Matulu said: Acha masihara mkuu, ujue kuna watu wanadhalilika? Click to expand... Zinaingia taratibu...wengine wameshapata wengine bado
Kapwila Matulu said: Acha masihara mkuu, ujue kuna watu wanadhalilika? Click to expand... Zinaingia taratibu...wengine wameshapata wengine bado
radika JF-Expert Member Joined Jul 15, 2014 Posts 20,450 Reaction score 32,290 Aug 24, 2016 #157 Naona crdb bado
msaginya Member Joined Mar 23, 2011 Posts 51 Reaction score 17 Aug 24, 2016 #158 _Iramba said: Kuna Mtu Mtumishi Namdai Kodi ya Nyumba! Vipi?Shimo Lishatema? Kwani Aliniahidi Tarehe 22 Mkulu Atakuwa Ameshalitemesha! Nawasilisha! Click to expand... Unauliza kijanja sio bado tunahakiki wafanyakazi hewa
_Iramba said: Kuna Mtu Mtumishi Namdai Kodi ya Nyumba! Vipi?Shimo Lishatema? Kwani Aliniahidi Tarehe 22 Mkulu Atakuwa Ameshalitemesha! Nawasilisha! Click to expand... Unauliza kijanja sio bado tunahakiki wafanyakazi hewa
Mbingo JF-Expert Member Joined Mar 20, 2014 Posts 411 Reaction score 230 Aug 24, 2016 #159 Mshahara tayari ila hakuna Increments JPM vepee
DAFU NA NDIMU JF-Expert Member Joined Aug 20, 2016 Posts 3,496 Reaction score 5,099 Aug 24, 2016 #160 iparamasa said: Umetumaje hii meseji kama simu umezima? Click to expand... Natumia laptop mkuu