Mshahara Umeshatoka?

[emoji28] [emoji23] [emoji28] [emoji23] [emoji28] [emoji23] [emoji28] [emoji23] [emoji28] [emoji23] [emoji28] [emoji23] [emoji28] nimecheka sana kwani huna mke na watoto??
Ubachela una raha na tabu zake. Hii ndo raha ya kuwa bachela mkuu.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Baada ya serikali katika miezi iliyopita kujaribu kulipa mishahara tarehe 22/23 ya kila mwezi,sasa inaonekana ilikuwa nguvu ya soda.
Watumishi wa umma wamesikika wakitaka serikali iwalipe kwa tarehe hizo hizo hasa ukichukulia wanavyonyanyasika tangu iingue madàrakani
 

Shangilia tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…