Mshahara umemliza mke wangu

Mshahara umemliza mke wangu

Mkuu mfungulie kabiashara kengine kadogo afanye, maana yake inaelekea angependa kuwa independent watu kama hawa wakipata kidogo inawa humiliate, asije akajiua Bure mtoto wa watu, lol
Unajua je kama na yeye alikuwa anasubiri mshahara wa my wife wake je?
 
Alitegemea ataongezewa mwezi huu ,amekuta hakuna kitu hata senti haijaongezeka .

Nimejitahidi sana kumsihi asilie , kwa sasa amenyamaza ,lakini kila nikimuangalia usoni sioni tena kama ana furaha .Sura yake imepoa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Inaonekana Huyo Mkeo Ndiye Tegemezi Wa Familia! So Lazima Alie. Sasa Ww Unafanya Nn! Ubaba Wako Upo Wapi?
 
Tumejua mkeo anafanya kazi mkuu kazi ya mshahara mdogo tena kusubiria nyongeza...
 
Rais amewafanya wafanyakazi ni watoto ,yani toka mei mosj tunasubiri increament ....kumbe porojo tu!! kwe kuajiriwa bongo ni utumwa,,,ongereni mliyojiajiri'!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom