Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 24,628
- 30,249
Ongeza mke mwigine kama hukuona anaanza kukuchekea! Furaha itarudi haraka sana na maini atakuwa anakutafutia.Alitegemea ataongezewa mwezi huu ,amekuta hakuna kitu hata senti haijaongezeka .
Nimejitahidi sana kumsihi asilie , kwa sasa amenyamaza ,lakini kila nikimuangalia usoni sioni tena kama ana furaha .Sura yake imepoa sana.
Sent using Jamii Forums mobile app