Kwenye maisha usipende sana kusikiliza na kufuata shauri za watu, utapotea usiposimamia maamuz yako.
nimekaa streets 5 years bila hiyo unayoita biashara, nimejarib umachinga naona kabisa sitoboi, nimechoma mkaa lkn wapi, nikaenda had mgodin kule kanda ya ziwa nusura nitoe uhai lkn wap.
Nimekuja nimepata ajira, nimeoa kupitia ajira, ninaenda kujenga kupitia ajira, familia inanitegemea kupitia ajira, bank navuta loan kupitia ajira, halafu anakuja mpuzi km huyu anaongea upupu, kuna wana wapo kitaa wanasota wanataman mm nilivyo.
Wewe ungetoa ushaur kuwa tusitegemee mishahara tuwe mbadala wa pili kusukuka maisha lkn sio kusema Totally kuwa ni dawa ya kulevya, big no, tinaheshim snaa ndo zinatuweka mjini hapa.
Period