Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,582
Mkuu Mkoroshokigoli.
Ukweli hakuna pesa mtu anaweza pewa akaridhika, ni wakati walimu wakajitambua na kujitafutia njia mbadala za kuingiza kipato chao. Sawasawa na waajiriwa wengine wafanyavyo. Ukijifunga na ualimu 24/7 kulala hakutoisha kwani mshahara wa 480000 per month ukizingatia na hali ya maisha ilivyo hatutoki.
MKUU UMENEA CHAMVIGA nna my best frend tulimaliza nae yeye akapangwa chunya,ananambia baada ya mishe zake anachukua bodaboda yake na kutega kijiweni
Last edited by a moderator: