Mshahara mpya wa walimu, serikalini:

Mshahara mpya wa walimu, serikalini:

Kuna baadhi ya walimu wameshapata Barua za Kupandishwa Madaraja.
Ila sasa hapa ndipo kwenye utata:....Wale ambao walikuwa wanapata mapunjo, hawajatumiwa barua lakini kwa wale waliobahatika kupata mshahara kamili, ndio walioletewa barua.
Hivo endelea kuvumilia mpaka Tarehe 20, ukiona hakuna barua inayokuja kwako toka Manispaa..........hapo ndipo uandike barua ya maombi ya kuomba kupandishwa daraja kwa maana ni stahiki yako mkuu Buka Crouch Juniour
Oyaaa... hebu niambie mwalimu aliyemaliza form four na kupata cheti cha ualimu ndio anakuwa daraja gani na mshahara wake unaanzia shingapi? Kuna kabinti kamemaliza chuo cha ualimu naishi nako nataka niangalie ntachangia kiasi gani kwenye sendoff party.

Usiponijibu sitakununulia bia jumamosi.
 
Mwalimu aliyemaliza mafunzo ya ualimu anakuwa ni Mwalimu wa Daraja la IIIA kwa ngazi ya cheti,........na inasomeka ni TGTS B1, kwa mshahara wa zamani huyo atapokea Sh 240,800/= na Kwa Mshahara mpya huu wa kuombea uchaguzi wa 2015 atapokea sh 344,000/=
Send off yake kamtunze kodi ya miezi 6.
Na Jumamosi nakuja na Baunsa wangu.
 
Hakyamama hii serikali hii. Sasa hapo wakimlima kodi, wakalima na sijui bima ya afya na NSSF anabakiwa na shingapi mwalimu wangu?
 
Hakyamama hii serikali hii. Sasa hapo wakimlima kodi, wakalima na sijui bima ya afya na NSSF anabakiwa na shingapi mwalimu wangu?

Serikali imekufanya nini?
Aliekwambia mzae watoto wengi ni nani?
Humuoni Gift na mkewe.......mtoto mmoja na wa nje kwa afya.
we si ulitaka kushindana na huyu
t%C3%BAln%C3%A9pesed%C3%A9s.jpg

acha uipate sasa na sijui mnalalaje Asprin, hata tundi hamlili kwa nafasi we na mkeo.

Ok huyo binti kwa mshahara wa zamani atapokea Sh laki moja na tisini na kitu na kwa mshahatra mpya atapokea kama laki mbili na sabini.

I rest my case!!!:help::help::help:
 
Utajiju......
:hand::hand::hand:....Shimo La Panya Linazibwa Kwa Tofali.....:israel::israel::israel:
Utajiju mwenyewe.....

May The Secret Bring You Love And Joy For Your Entire Existence
 
Mshahara wa zamani ilikuwa ni Sh 740,890/=...........mshahara mpya ni Sh 945,600/= Mpaka 1,034,990/= (Hapa sasa areas yaani vile vipesa vinavyoweka kila mwezi wa 7 na serikali ndio vinahusika)
kumbe wewe teacher. nikiwa mkubwa nataka kua km wewe
 
Serikali na walimu tuachieni wenyewe huwa tunamalizana vizuri tu. GIGO if you know what I mean

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Kweli walimu macho na masikio ni july hawafundishi kisawasawa wanasubbiri mkitia hela kiduchu mtamalizana kama kawa wataenda kwenye shughuli zao.
 
Hongera naona CCM imeona kosa mahala ikaja na suluhisho makini kwenu.Mtaacha kuichagua nyie?
 
Assume,
baba mwalimu (Degree level), mama mwalimu (Diploma level) That means ni familia ya wasomi (kibongo bongo)
mama D1, baada ya kukatwa anabaki na 351,900/=
baba E1 baada ya kutatwa anabaki na 464,580/=
PATO LA MWEZI LA FAMILIA BAADA YA KODI : 816,480/=

Wamepanga,
wana watoto wawili,
wana dada wa nyumbani,
wanawasaidia wazazi,
inabidili wao na familia wale,
walipe kodi ya simu (2000 wote wawili) = 0.24% ya mapato yao,
usafiri,
umeme,
maji,
NA MENGINGE KIBAAAAAAAAAAO

NB:
Kumbuka mwalimu haruhusiwi kufundisha tuition so chanzo kingine cha mapato ni ISHU.
Hivi watoto wakifeli mtawalaumu waalimu?

MAPATO YA TOZO ZA SIMU:
kama tozo ya 1000 ya kwenye simu ingekuwa inatumika kuongeza waalimu mshahara binafsi ningeridhika
Total amount itayokusanywa kwa mwaka ni 26,000,000,000/= (26 bil) according to TRA,
kwa mwezi ni 2,166,666,666/= roughly,
kama kila mwalimu akiongezewa 200,000 kwa mwezi waalimu 10,834 watanufaika.
Sina takwimu kamili ya kujua idadi ya waalimu tuliyonayo kwa sasa.

mawazo yangu tu.
 
Waheshimiwa kila siku mi huwa nasema, tuvumilie kwan tar 30 ndo jibu kamili, mbona mna haraka hivyo only 12 days remained!!!!!
 
Back
Top Bottom