Eti? Kulikuwa na haja gani kututangazia kwamba ana waraka wakati anajua kuwa hiyo ni siri ya ofisi yake?Ndugu yangu huyu jamaa ni radio tumbo akishiba tu..sasa kama ana waraka anachoogopa kuweka kitu gan?
Eti? Kulikuwa na haja gani kututangazia kwamba ana waraka wakati anajua kuwa hiyo ni siri ya ofisi yake?
Tghs E vp?
Ndugu yangu huyu jamaa ni radio tumbo akishiba tu..sasa kama ana waraka anachoogopa kuweka kitu gan?
acha mbwembwe, huna waraka wala nini. correct mwenyewe hapo kwenye red.Habari hizi ndio ukweli nina waraka lakini sitauweka hapa kwa sababu za privacy
naomba tafadhali sitapenda malumbano lakini am stand to be corrected....
Ngoja niwaweke wazi wakuu wenzangu.
Mkuu mkonomtupu ni kweli anayo haki ya kutouweka huu waraka hapa jukwaani kutokana na sababu maalum.
Kwa maana katika huo waraka pale mwisho kabisa pameandikwa "WARAKA HUU HAURUHUSIWI KUWEKWA KATIKA MATANGAZO YOYOTE AU VYOMBO VYOVYOTE VYA HABARI'"
Hivo nafikiri walimaanisha kuwa mpaka kwenye mitandao ya kijamii pia hauruhusiwi.....ila ni kweli ninao huo waraka hapa sasa.
Si unaijua serikali yetu hii kwa....:A S 2152::A S 2152::A S 2152:kama
wewe house girl waraka utaupata wapi?
watumishi wa umma wamekuwa wakisubiri kwa hamu kuona na
kujua ongezeko la mishahara mipya kwa muda sasa. Na mengi
yameandikwa na kusemwa hapa lakini ukweli ni kwamba
1. Kima cha chini kabisa kimeongezeka kwa tsh. 70,000
kutoka 170,000 hadi 24,000
2. Tgs d mshahara umeongezeka kwa tsh. 55,600
3. Tgs e mshahara umeongezeka kwa tsh. 54,800
4. Tgs f mshahara umeongezeka kwa tsh. 34,700
5. Na tgs h hadi j mshahara umeongezeka kwa tsh. Kati ya 160,000
hadi 200,000,
na wakubwa wameongezew tsh. 400,000
habari hizi ndio ukweli nina waraka lakini sitauweka hapa kwa sababu za privacy
naomba tafadhali sitapenda malumbano lakini am stand to be corrected....
Watumishi wa umma wamekuwa wakisubiri kwa hamu kuona na
kujua ongezeko la mishahara mipya kwa muda sasa. Na mengi
yameandikwa na kusemwa hapa lakini ukweli ni kwamba
1. Kima cha chini kabisa kimeongezeka kwa Tsh. 70,000
kutoka 170,000 hadi 24,000
2. Tgs D mshahara umeongezeka kwa Tsh. 55,600
3. Tgs E mshahara umeongezeka kwa Tsh. 54,800
4. Tgs F mshahara umeongezeka kwa Tsh. 34,700
5. Na Tgs H hadi J mshahara umeongezeka kwa Tsh. kati ya 160,000
hadi 200,000,
NA WAKUBWA WAMEONGEZEW TSH. 400,000
HABARI HIZI NDIO UKWELI NINA WARAKA LAKINI SITAUWEKA HAPA KWA SABABU ZA PRIVACY
NAOMBA TAFADHALI SITAPENDA MALUMBANO LAKINI AM STAND TO BE CORRECTED....
mimi ni nyau siyo paka .We Paka unaongea na mimi au?
mimi ni nyau siyo paka .
Watumishi wa umma wamekuwa wakisubiri kwa hamu kuona na
kujua ongezeko la mishahara mipya kwa muda sasa. Na mengi
yameandikwa na kusemwa hapa lakini ukweli ni kwamba
1. Kima cha chini kabisa kimeongezeka kwa Tsh. 70,000
kutoka 170,000 hadi 24,000
2. Tgs D mshahara umeongezeka kwa Tsh. 55,600
3. Tgs E mshahara umeongezeka kwa Tsh. 54,800
4. Tgs F mshahara umeongezeka kwa Tsh. 34,700
5. Na Tgs H hadi J mshahara umeongezeka kwa Tsh. kati ya 160,000
hadi 200,000,
NA WAKUBWA WAMEONGEZEW TSH. 400,000
HABARI HIZI NDIO UKWELI NINA WARAKA LAKINI SITAUWEKA HAPA KWA SABABU ZA PRIVACY
NAOMBA TAFADHALI SITAPENDA MALUMBANO LAKINI AM STAND TO BE CORRECTED....
We Paka unaongea na mimi au?