Mshahara Kutoka Hazina Moja kwa Moja.

Mshahara Kutoka Hazina Moja kwa Moja.

Godwishes

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2011
Posts
640
Reaction score
167
Habarini Wakuu.Zilizopo toka Redio Mbao,kuanzia mwezi hujao Mishahara yote ya Watumishi wa Umma itakuwa inatoka Hazina moja kwa moja.Hakuna cha kupeleka halmashaurini.Itakuwa pouwa.Kama cc huku NBC full mzinguo pia na HALM.ye2 full Usanii,ucshang'ae salary mpaka th.38 na kuendelea.Bora iwe hvyo.
 
ukiukosa ndio utajua ubaya wa mshahara kutoka hazina.utaambiwa ufuatilie mshahara wako Hazina-Dar
 
Govt haijajipanga ki-ivo hata wakianza watafanya 2 months watarudi kule kule!
hawapo strategic!
 
ukiukosa ndio utajua ubaya wa mshahara kutoka hazina.utaambiwa ufuatilie mshahara wako Hazina-Dar
hicho kitu hakitatekelezeka na hakisaidii lolote kuokoa fedha zinazoibiwa.je mtu akiacha kazi au akifa watapataje taarifa mapema kuzuia kulipa mishahara kwa watumishi ambao hawapo kazini?
 
Habarini Wakuu.Zilizopo toka Redio Mbao,kuanzia mwezi hujao Mishahara yote ya Watumishi wa Umma itakuwa inatoka Hazina moja kwa moja.Hakuna cha kupeleka halmashaurini.Itakuwa pouwa.Kama cc huku NBC full mzinguo pia na HALM.ye2 full Usanii,ucshang'ae salary mpaka th.38 na kuendelea.Bora iwe hvyo.

Unajua kwanini,Idara ya Sekondari ilihamishiwa Halmashauri za Wilaya?,nasikia ni kutokana na sababu hizi hizi eti kila kitu Wizarani,mbona walimu walilia na walitaabika kufuatilia madai yao Dar Es salaam.
Kweli kuna dalili za kurudia makosa,badala ya kujifunza kutokana na makosa:
[1].Wale watumishi walio mbali,watafanyiwa hujuma,na kila wakifuatilia wataambiwa pitia kwanza kwa mwajiri wako,au barua yako inafanyiwa kazi,au jalada lako hatulioni.au nenda kwanza masjala.
[2].Chanzo cha madai ya Walimu wa Sekondari waliohamishiwa kwenye Halmashauri,inasemekana eti Wizara ilishindwa kuwahudumia ipasavyo;mishahara ilionekana imelipwa lakini walengwa walikuwa wanapata salary slip lakini hakuna kinachoingia kwenye akaunti.na madai yao yalikuwa hayafanyiwi kazi.
 
mishahara huwa inatoka hazina moja kwa moja hadi benki husika.halmashauri hupelekewa payroll ili wazihakiki na kuziwasilisha katika benki.sijui muazishaji wa thread anamaanisha hata payroll hazitaenda halmashauri.this is next to impossible
 
Habarini Wakuu.Zilizopo toka Redio Mbao,kuanzia mwezi hujao Mishahara yote ya Watumishi wa Umma itakuwa inatoka Hazina moja kwa moja.Hakuna cha kupeleka halmashaurini.Itakuwa pouwa.Kama cc huku NBC full mzinguo pia na HALM.ye2 full Usanii,ucshang'ae salary mpaka th.38 na kuendelea.Bora iwe hvyo.

C kweli.
 
Nini sababu ya kufanya mabadiliko hayo ?
 
Siyo kweli mkuu,halmashauri ndiyo wanaojua nani yupo kazini,nani amestaafu,nani ameacha kazi,kwa ujumla nani anastahili kupata mshahara na hastahili kupata mshahara!!
 
siku zote mishahara hutoka hazina na halmashauri zinakaa records mbalimbali za mtumishi.au una maana nyingine?
 
Jamani wakati ukuta lazima.....tukubaliane na mabadiliko ya sayanzi hizi ni zama za ICT. sIJUI ni nini kitashindikana. Kwani baada ya hazina kupeleka pay roll halmashauri, halmashauri itachambua pumba na mchele kisha kurudisha hazina. Hazina wanapeleka benki...kama mtumishi ana tatizo bado hatawajibishwa na halmashauri husika. Hivi sasa karibu halmashauri zote zimeunganishwa kimtandao na hazina . Software ya payroll inatumwa halmashauri...halmashauri inachambua pumba zake kisha inaireshesha hazina.Jamani tukubali mabadiliko
 
Sijui mkuu unamaana gani kusema mishahara itaanza kutoka hazina moja kwa moja, kwani kwa kawaida huwa inakuwaje au mimi sielewi labda?
 
Ni hivi,ankara ilikuwa inatoka HAZINA Kuu wanapeleka Halmashauri,halmashauri ndo wanafanya transaction kwa Walengwa.Ndo mana ulikuwa unakuta Halm.mfano.Moshi,Mbozi n.k watumish wanalaba mshahara th.20 mpaka th.25.Wengne huku mpaka th.40.eti ndo mshahara unatoka.Madeni kibao unasubiri tena th.40.Na huku hawa akina Mkurugenz na wenzake walikuwa wana ubia na NMB Branch Manager.Mf.Watumish ambao tuna acc.NBC,CRDB$POSTA unaweza kudhani hatutakiwi kulipwa salary.NMB wakipata th.30 ujiandae zipite cku 6 mpaka 7.naic walikuwa wanapeleka Fixd Acc.Na huwez ckia mtumish anaandamana kudai chake!(Unconscious group)bt only cku moja tu nlipata suport ya inservice wanafunz fulani wako UDOM palichimbika ndo nilipata ukweli na miezi 2 tulikuwa hatucheleweshwi.Afta there kama kawaida kuchezeshwa mishahara ye2.Ulizia mtumish yeyote wa Sumbawanga ambae yuko NBC o CRDB n.k.Nadhani mkuu na wengne hapo juu nimejibu to the extent nlichomanisha.
 
Nimekusoma mkuu, akhsante kwa ufafanuzi uliokwenda shule!
 
Ila kwa upande wangu nahisi ni kitu kisichowezekana hata siku 1 nduguzangu mshahara kutoka hazina moja kwa 1 na kukufikia muhusika.
 
Back
Top Bottom