Mshahara huu tutafika kwel?


pesa ndo inahitajika pesa
 
Inategemea na Hoteli yenyewe, ila sehemu nyingi inaanza laki 3. Unai budget, asubuhi unapiga maandazi au chapati na chai si zaidi ya buku moja, mchana unapiga msosi wa buku mbili na maji jelo, jumla buku 3 mia 5, usiku unapiga mkate na chai si zaidi ya buku, jumla elfu 4 mia 5, naulu buku jelo, elfu 6, vocha ya buku, elfu 7, unalipa kodi buku jelo kwa siku (kwa mwezi elfu 45 chumba elfu 30, umeme na maji elfu 15), inakua elfu 8 mia 5, weka jelo pembeni daily kama ya kilindia mfuko unataka kufua weekend unakua na buku 3 jelo unanunua sabuni na vitu vidogo vidogo, jumla elfu 9, inabaki buku moja kwenye elfu 10 hiyo ndo savings yako. Unakomaa miezi sita mpaka mwaka ili uweze kupata promosheni mshahara unapanda mpka kwnye laki 6 mpaka laki 9 inategemea. kwahiyo hela yako ya savings kwa mwezi elfu 30, kwa mwaka laki 3 na elfu 60, hiyo hela inatosha kabisa kuanzisha kuwa mtaji wa kibanda cha fruits au la kahawa na chai ya tangawizi. Maisha safari ndefu usikate tamaa, mkaa bure sio sawa na mtembea bure. kila la heri.
 
Kwasababu unako ka biashara ndo maana, lakini kama huna huwezi kukataa, hali ngumu mjini.

Kuna mshkaji wangu ameenda kwenye interview na form four.

Amejisikia vibaya sana ila hana jinsi
 
Kuna mshkaji wangu ameenda kwenye interview na form four.

Amejisikia vibaya sana ila hana jinsi

Ni sawa tu. Kama dogo wa form four yupo vizuri kuliko wa degree achukuliwe wa form four. Issue sio una certificate ngapi umejaza kwenye file, Issue ni kuwa mzuri kwenye fani yako, uwe fiti.
 
Khantwe na HMS umsema ukweli
Maisha ya tz kuna maisha na tabaka sana
Watu wengi wanalipwa huo mshahara na wanaishi hapa mjini
Maisha magumu kikubwa achukue hiyo fursa jipange usiogope
Ukisikiliza ya watu utaona bora uache kwa maana kuna wanaolipwa million hapa hapa na wengine laki mbili
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…