mpuyango Member Joined Aug 17, 2016 Posts 60 Reaction score 68 Dec 13, 2016 #1 Kuna huu msemo unaosema "Povu linakutoka" dah aise siupendi huu msemo kutoka moyoni.
swissme JF-Expert Member Joined Aug 15, 2013 Posts 13,663 Reaction score 19,904 Dec 13, 2016 #2 serikali haijaleta mafuriko. swissme
M Mwakyambange umwifyusi JF-Expert Member Joined Oct 14, 2016 Posts 210 Reaction score 194 Dec 13, 2016 #3 "mubashara" nakereka sana nikisikia neno hili
Mgodo visa JF-Expert Member Joined Nov 1, 2016 Posts 3,589 Reaction score 3,639 Dec 23, 2016 #4 Waishi kama MASHETANI......huwa najiuliza huyu jamaa ana DINI kweli na Je anayo KHOFU ya Mungu......!!?
Waishi kama MASHETANI......huwa najiuliza huyu jamaa ana DINI kweli na Je anayo KHOFU ya Mungu......!!?
goldie ink JF-Expert Member Joined Oct 6, 2016 Posts 5,634 Reaction score 9,151 Dec 23, 2016 #5 " uchwara "
GeoMex JF-Expert Member Joined Jan 10, 2014 Posts 5,431 Reaction score 20,043 Dec 23, 2016 #6 Wacha waisome namba....... Halafu capitano anamalizia "wajinga waleee"
KING 360 JF-Expert Member Joined Jun 30, 2016 Posts 3,002 Reaction score 5,200 Dec 23, 2016 #7 Hainaga ushemeji ni zaidi ya kukela
KING 360 JF-Expert Member Joined Jun 30, 2016 Posts 3,002 Reaction score 5,200 Dec 23, 2016 #8 Akili yangu naijua mwenyewe unanikela we acha tu
Rhobi1961 JF-Expert Member Joined Nov 4, 2015 Posts 888 Reaction score 682 Dec 23, 2016 #9 Msemo ulionikera mwaka huu ni 'vepee' badala ya vipi 'nene' badala ya nini
Bata batani JF-Expert Member Joined Nov 11, 2011 Posts 3,256 Reaction score 3,892 Dec 23, 2016 #10 dume surualiii
hotel JF-Expert Member Joined Sep 14, 2016 Posts 332 Reaction score 325 Dec 23, 2016 #11 Mgodo visa said: Waishi kama MASHETANI......huwa najiuliza huyu jamaa ana DINI kweli na Je anayo KHOFU ya Mungu......!!? Click to expand... mkuu una 7mil?
Mgodo visa said: Waishi kama MASHETANI......huwa najiuliza huyu jamaa ana DINI kweli na Je anayo KHOFU ya Mungu......!!? Click to expand... mkuu una 7mil?
mcubic JF-Expert Member Joined Mar 3, 2011 Posts 10,310 Reaction score 6,546 Dec 23, 2016 #12 " hewa"
Kisu Cha Ngariba JF-Expert Member Joined Jun 21, 2016 Posts 22,133 Reaction score 48,851 Dec 23, 2016 #13 Uchwara
J Janemo Senior Member Joined Aug 17, 2016 Posts 106 Reaction score 38 Dec 23, 2016 #14 Msemo ulonikera mimi ni" HAPA kAZI TU"yan nauchukia maisha
BIN NUN JF-Expert Member Joined May 23, 2014 Posts 4,080 Reaction score 8,429 Dec 23, 2016 #15 Daah nchi ya viwanda huu msemo natamanigi kutapika
amayabhu JF-Expert Member Joined Oct 15, 2016 Posts 497 Reaction score 709 Dec 23, 2016 #16 Mimi hili neno 'chura' daaa silipendiii kama nini
DUME SURUALI JF-Expert Member Joined Dec 8, 2016 Posts 782 Reaction score 1,085 Dec 23, 2016 #17 C programming said: dume surualiii Click to expand... Wow ..!
jimmyfoxxgongo JF-Expert Member Joined Jan 23, 2013 Posts 5,352 Reaction score 9,350 Dec 23, 2016 #18 Sipendi neno JIPU hasa linapotumika kwa watu
Heart JF-Expert Member Joined Nov 29, 2011 Posts 2,673 Reaction score 1,712 Dec 23, 2016 #19 'Vepeeee' na ' ama nene'....zinanikeraaaaaa