Bana Balume
JF-Expert Member
- Jun 10, 2017
- 999
- 2,730
Mimi naanza na misemo hii
-"utapata tabu sana"
-"900 itapendeza"
Na wewe tupia ya kwako uliyo ikubali
-"utapata tabu sana"
-"900 itapendeza"
Na wewe tupia ya kwako uliyo ikubali
😂😂Injiniaaa soma hiyoooo
Huyu baba napenda lisaut lake hatariInjiniaaa soma hiyoooo
Niliona kwenye kipindi cha lulu za kiswahili walisema ni kama kupendezaDAMSHI
Mpk sasa sielew maana yake