Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe kwani ukisema tu kuwa hao Wachezaji Wawili wa Wakiso United FC wamekuja kwa 'Trials' utapungukiwa nini?

Hivi ujinga wenu kudanganywa na mangungu kuwaletea Manzoki afanye siasa na mkamchagua hamkutambua km ilikuwa ni tukio la kipambuvu kuwa kutokea!!, Na nauli mkatumia. Bata waheed
 
Klabu ina viongozi wa ajabu ajabu Sana. Wanafikiri Mashabiki wa vilabu vingine nao ni hamnazo kama wale wa kwao kwamba niwakudanganya tu wanakubali.
Kwamba hukuona ujinga wa viongozi wako kumfanya Manzoki kuwq kampeni Meneja wa uchaguzi na mkachekelea?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…