Mgugu
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 2,165
- 4,404
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa hapo siku yako itaanza vizuri ukisikia kakipigwa kale kanyimbo ketu ka chaguo letu wenyewe, mnune na mpasukeee, sasaaa waisoma namba eeeenh hhhhhhhh, sisiemu mbele kwa mbeleeeee.Wewe mzee umenoga kipesa ila nadhani round zijazo na wewe utakuwa kama Tajiri Shetani..wewe unataka mjomba ako akamatie chini kwa chini kama mwendo wa singeli...hapa nilipo nipo posta tangu saa kumi na mbili asubuhi nipo kwa ajili ya mapambano ya hapa kazi tu ya kupata nauri na kuoga
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mimi sijanoga wala nini yaani hapa nilipo ni zaidi hata ya shetani, ila hii hali inanifurahisha sana natamani iendelee ili watu wawe na adabu na pia waache roho mbaya, maana wakati kamtaji kangu ka duka kalivyokua kanaanza kukata watu walikua wanachekelea kwelikweli na maneno machafu machafu yanawatoka, ila sasa hivi wao ndio wanalia kilio cha mbwa koko.
Maendeleo hayana chama