Msekwa na mamluki jukwaani

Filipo

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
9,342
5,536
Makamu mwenyekiti wa ccm alilitangaza rasmi jukwaa hili kuwa ni adui hatari kwa chama chake na alitangaza vita na wanajukwaa akisema atapanana nalo kuhakikisha chama chake kinaondokana na hatari hiyo.

Baada ya kauli hiyo wamejitokeza member wapya kama kina Gamba Jipya, MkamaP na wengine wengi ambao wakishirikiana na akina Kashaga wamekuwa wakileta thread za kipuuzi au kudivert hoja za msingi ili tu kukitetea ccm au kutupotezea muda bila kutumia hoja na kulifanya jukwaa kuwa sio la great thinkers.

Watu wamedhihirisha wazi kwamba Msekwa ameanza kufanyia kazi kauli zake na kwakuwa we are great thinkers, tusishirikiane nao kwa kutokujibu comments wala kuchangia thread zao ili watambue kwamba we are here for serious issues na we're not dealing na upuuzi wao.

Nawasilisha.
 
Good ideal
Hawezi kutusumbua huyo ,muda wake ulikwisha pita kitambo.Tuendeleeni na mambo yetu ya maana
 
waje wengi tu! tatizo wanatuletea vilaza ambao hawajui hata kuargue with points
 
Ajifunze computer aje mwenyewe......baba yangu anatumia internet at 84 years of age!!!....yeye anaogopa nini mpaka atume watu:yawn:
 
Na kama wakichangia katikati ya thread ya great thinker msijisumbue kujibu tuendelee kuchangia kwenye post mama
 
Ninachohofu ni kwamba wanatuvurugia jukwaa linaonekana la kihuni. Hii itawakimbiza waheshimiwa ambao wamekuwa wakitujibu na kuchangia hoja za msingi. Na hapo hao jamaa watafanya sherehe kubwa wakifurahia ushindi. Ni afadhali tukawaweka pembeni mapema.
 
Good ideal
Hawezi kutusumbua huyo ,muda wake ulikwisha pita kitambo.Tuendeleeni na mambo yetu ya maana

Kwa vile mmezungumzia kupitisha mamluki ambao ni wachanga kwa michango yao ndani ya JF, sasa tujiulize huyu hapa juu na uchanga wake ametumwa na nani? Hivi mnawezaje kuwasusia wanaotoa maoni yao na bado mkajigamba na slogan ya "where we dare talk openly"? Tuache kukandamiza uhuru wa kutoa maoni, hasa yale yanayokinzana na mitazamo yetu!
 
Makamu mwenyekiti wa ccm alilitangaza rasmi jukwaa hili kuwa ni adui hatari kwa chama chake na alitangaza vita na wanajukwaa akisema atapanana nalo kuhakikisha chama chake kinaondokana na hatari hiyo.
Baada ya kauli hiyo wamejitokeza member wapya kama kina Gamba Jipya, MkamaP na wengine wengi ambao wakishirikiana na akina Kashaga wamekuwa wakileta thread za kipuuzi au kudivert hoja za msingi ili tu kukitetea ccm au kutupotezea muda bila kutumia hoja na kulifanya jukwaa kuwa sio la great thinkers.
Watu wamedhihirisha wazi kwamba Msekwa ameanza kufanyia kazi kauli zake na kwakuwa we are great thinkers, tusishirikiane nao kwa kutokujibu comments wala kuchangia thread zao ili watambue kwamba we are here for serious issues na we're not dealing na upuuzi wao.
Nawasilisha.

Teh teh teh teh
eti member wapya kama MkamaP, teh teh teh .Jiridhishe kwanza uone nimejiunga mwaka gani, na maoni ya MkamaP yamesimama wapi. Kama hawa ndo wanachama wenu mhhhhhhh

Tumekuwapo tangu enzi za jambo forum sijui za akina mwafrika wa kike, mwafrika hawa walikuwa wanajenga hoja japo kwa reverse biased style. Nyie ndo mamluki .
Kwa kukusaidia zaidi usiwe mkurupukaji zaidi.
 
Makamu mwenyekiti wa ccm alilitangaza rasmi jukwaa hili kuwa ni adui hatari kwa chama chake na alitangaza vita na wanajukwaa akisema atapanana nalo kuhakikisha chama chake kinaondokana na hatari hiyo.
Baada ya kauli hiyo wamejitokeza member wapya kama kina Gamba Jipya, MkamaP na wengine wengi ambao wakishirikiana na akina Kashaga wamekuwa wakileta thread za kipuuzi au kudivert hoja za msingi ili tu kukitetea ccm au kutupotezea muda bila kutumia hoja na kulifanya jukwaa kuwa sio la great thinkers.
Watu wamedhihirisha wazi kwamba Msekwa ameanza kufanyia kazi kauli zake na kwakuwa we are great thinkers, tusishirikiane nao kwa kutokujibu comments wala kuchangia thread zao ili watambue kwamba we are here for serious issues na we're not dealing na upuuzi wao.
Nawasilisha.

Waambie Nape na January kwanza wakarekebishe website ya CCM ndio waje JF. Kuthbitisha wamekubuhu kwa usanini wanachakachua hadi website.
 
alishindwa malaria sugu, watakuwa hao?

waje tu. hapa ndo jamvini, kwingineko copy.
 
Waambie Nape na January kwanza wakarekebishe website ya CCM ndio waje JF. Kuthbitisha wamekubuhu kwa usanini wanachakachua hadi website.
Vijana wa dot.com, wamesharekebisha web site ya CCM kwa kuingiza majina mapya, ila pia inasomeke, RA, LA na Vijisenti wote bado ni wajumbe wa CC.
 
Tabia ni kama mimba, huwezi kuificha. Kwa hiyo kila mtu atatambulika tabia yake, busara na msimamo wake kwa michango yake jukwaani. Hakuna mtu wa kutupangia nani tumjibu na nani tusimjibu ili mradi tu tunafuata taratibu za jukwaa. Hakuna upinzani bila chama tawala vivyo hivo hata hapa, hakuna mchango wa kujenga bila kuona palipo bomoka. Jukwaa hili ni la watu wote kutoka vyama vyote na wasiokuwa na vyama. Unless otherwise labda mimi naelewa ndivyo sivyo.
Busara zako zitaonekana kwa kushawishi wachini na wajuu kwani ndo jamii yetu ilivyo. Nawashauri CCM waje na hoja zito tu ili waweze kuwaeleza wana jamii kwani ukweli na uwazi ndo utakaoikomboa CCM katika wakati huu.
 
Kwa hiyo tunakubaliana kimsingi kuwapotezea sio? Fahamu unapotumia dakika yako moja tu kujibizana na mpumbavu wa aina hiyo kwake ni ushindi. Shime basi!
 
Sio ku ignore comments zao bali inabidi kuwajibu kwa hoja,alikuwa Malaria Sugu na akashindwa na hawa watachemka tu.....
 
walikuja wengi sana kipindi cha uchaguzi. Dawa ni moja tu,, tupa kule! Achana nao, tusiwajibu, hata ukiona thread title usiclick kufungua. Wapuzi sana
 
Back
Top Bottom