Hapo ndipo UKAWA kawamaliza LOWASA mlikuwa mkiimwita fisadi mkamweka hadi kwenye list of shame kama fisadi papa.Amekuja akawapa tuition kuwa mumwite fisadi mtu aliyehukumiwa na mahaka mkasema sawa mzee.Sasa midomo amewafunga ole wenu mumwite Chenge AU mtu yeyote fisadi wakati hajahukumiwa na mahakama.Sasa hivi mumeufyata kawafyatisha Lowasa na ndio maana alikuja kwenu akijua nyie wababaishaji.CCM tunamjua fisadi bunge lilimhukumu,serikali ikampiga chini uwaziri mkuu na CCM ikakatilia mbali jina lake.
Ninyi hamheshimu maamuzi ya muhimili wa bunge ambamo na akina Mbowe WAMO uliOtoA ripoti kuwa huyo ni kibaka wa Richmond mnataka ahukumiweje? Mumechemka mumewaangusha wananchi sasa hivi neno ufisadi kwenu gumu kutamka CCM tu ndio inaweza tamka kwa ujasiri.Sasa hivi majipu ya mafisadi yanatumbuliwa