ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 23,707
- 57,210
Yote yale mafisadi tena lile jeupe la monduli lifisadi kuu nashangaa sijui kwanini serikali zetu linalificha bila kulifunga yaani serikali ya ccm bhana yenyewe maneno tu na uswahil mwinglile fisadi lingine la CHADEMA lililohukumiwa na bunge kuwa fisadi la kutupwa CHADEMA mkalipa ugombea Uraisi unalisemeaje?
Jitu jizi linaachwa mpk linafanya hatua ya kugombea uraisi
Kidogo lishinde