ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 24,883
- 60,915
Yote yale mafisadi tena lile jeupe la monduli lifisadi kuu nashangaa sijui kwanini serikali zetu linalificha bila kulifunga yaani serikali ya ccm bhana yenyewe maneno tu na uswahil mwinglile fisadi lingine la CHADEMA lililohukumiwa na bunge kuwa fisadi la kutupwa CHADEMA mkalipa ugombea Uraisi unalisemeaje?
Wataanza kumwita msaliti maana hawachelewimzee ameongea. mda si mrefu ataonekana kuwa ni adui
Mkuu nani huyo fisadi aliyepewa uenyekiti bungeniTumeuziwa mbuzi kwenye gunia
Hata malaika Mbinguni WANAJUA kuwa ccm haina na haijawahi kuwa na nia ya kumkomboa mtanzania
We mwenyewe fikiria jitu fisadi linapewa uenyekiti wa bunge
Rafiki lake na yule fisadi mkuuMkuu nani huyo fisadi aliyepewa uenyekiti bungeni
Hahahahahaaa chenge anatisha, serikali na ccm wanamuogopa hahahaaaaRafiki lake na yule fisadi mkuu
Wanaliita chenge
Kwahiyo chama gani kinafaa kwa sasa?Tumeuziwa mbuzi kwenye gunia
Hata malaika Mbinguni WANAJUA kuwa ccm haina na haijawahi kuwa na nia ya kumkomboa mtanzania
We mwenyewe fikiria jitu fisadi linapewa uenyekiti wa bunge
CUF waswahili sana hawaaminikiKwahiyo chama gani kinafaa kwa sasa?
Yani ni kichefuchefu mkuuCUF waswahili sana hawaaminiki
CHADEMA wanafki hatuwataki tena
CCM mafisadi ya jiandae kuwa kuni jehanamu
ACT hawaeleweki sijui ni wa msimu
Kifupi picha linaanza vyama vyote chengasi
mzee ameongea. mda si mrefu ataonekana kuwa ni adui
Pccb ya kwenulile fisadi lingine la CHADEMA lililohukumiwa na bunge kuwa fisadi la kutupwa CHADEMA mkalipa ugombea Uraisi unalisemeaje?
lile fisadi lingine la CHADEMA lililohukumiwa na bunge kuwa fisadi la kutupwa CHADEMA mkalipa ugombea Uraisi unalisemeaje?
ShangaππππππMzee msekwa kaisha yupo kama kubenea tu mda wote kuwanza shanga na kuhangaika na mambo yasiyo ya msingi.
Ulichokiandika hapa hukijui au unakijua umeamua kupotosha Mzee Msekwa ni mmoja wa inner cycle ya wazee wanaomshauri MagufuliTokea Hapo Ni ADUI ALIYETUKUKA Tayari Kwani TARATIBU Zote Za KUKIKOSOA Chama ANAZIJUA Lakini Yawezekana UZEE Wake Umemuijia Vibaya. Vyeo Viko Vingi Bado Na ASILAZIMISHE ( Naomba Nisimtaje ) Awe KIONGOZI Kwa Hicho CHEO Anachokitaka Yeye Apewe. Tunamuheshimu Sana Ila Atulie Na Awaige Wazee Wenzie Ambao WAMETULIA TULI! au Anaona WIVU Labda Kwakuwa HAJAALIKWA IKULU au Hata KUTEMBELEWA Na Msubi Kama Walivyofanya au Kufanyiwa Wengine? Naomba Niishie Hapa TAFADHALI.