Ivi kati ya msekwa na nape nani ni msemaji wa chama? mm naamini kauli ya msemaji ndiyo imetoka chumbani kabisa. labda nape alaumiwe kwa kusema siri za chama hadharani
sio kiazi tu,Nape ni kiharage.
It is true.Nape Nnauye amevujisha siri za chama chake kuwa CCM iko kwenye maandalizi ya goli la mkono.
Huyu Nape ni nani vile
Kwani upinzani wako wp mpaka sasa hiv hawajaongea kuhusu hii kauli ya mropokaji wa Ma ccm?mwaka huu hatukubali Ng'ooooooooooooooo
Ni msema msema ovyo wa Sisiemu aka MC.Huyu Nape ni nani vile