Shaycas
JF-Expert Member
- Feb 13, 2009
- 906
- 110
Ndg wana JF binafsi nimesikitishwa na kauli aliyotoa MSEKWA,Makamu M/kiti CCM(Bara) kwamba alikaa kimya bila kulipa deni lake kule ubalozini baada ya kuona ubalozi wamekaa kimya bila kumwuliza.
Hivi si yeye alieomba kukopeshwa hizo pesa au aliomba kupewa msaada? Naona kiöngozi huyu kukosa uadilifu hasa ukizingatia nafasi aliyokuwa nayo (SPIKA)!
. Pia hiki ni kielelezo cha viongozi wetu kuwa wahawezi kutekeleza kile wanacho ahidi kwasababu tu walioahidiwa hawajawakumbusha hivyo hawana shida.
Wakati umefika kila mwananchi kudai kile alichoahidiwa kwa njia yoyote ili viongozi wajue kuwa AHADI NI DENI NA WANAOWAJIBU WA KULIPA.