Una ID mbili ila unatumia akili yako ile ile na mawazo yako yale yale tu,Huyo Echolima1 ndiyo swahaba gani tena huyo ...wahy aunijii isipokuwa nivaliapo mavazi ya bi sugar mama bi hadishaπππ
Unanishawishi nifuatilie hiyo I'd nione kama hapa jfyupo mtu mwenye akili sahihi kama zangu hadi wewe unanifananisha naye! π mimi ndiyo mtu mwenye akili nyingi sana hakuna yoyote wa kunipata hapa jf ...na mtu yoyote akiweza kumiliki asilimia 10tu ya akili yangu basi huyo mtu atakuwa ni genius mkubwa sana.Una ID mbili ila unatumia akili yako ile ile na mawazo yako yale yale tu,
ni sawa na kujificha kwenye bustani ya mchicha.
Ndio fikra zako zilipo ishia sioNa wewe duka la Iphone ulienda kufanya nini?? Maana Iphone ni simu za πππ... mlikutana
Mawazo ya kimasikiniNa wewe duka la Iphone ulienda kufanya nini?? Maana Iphone ni simu za πππ... mlikutana
Make researchMawazo ya kimasikini
Umeanza kumuongopea mtoto wa watu πππYule mmama ni pisi hadi sasa hivi, halafu kibongo bongo we ndio ume take place yake ππ¦
Mbunifu wake wa mavazi ni pungaπππMsanii wenu ana agenda zipi, mbona haeleweki. Kama kuna washauri wake wanasoma uzi huu wamfikishie ujumbe, anakoelekea ni kubaya.
View attachment 3591216
P Diddy kamfila Mick meal Justin Bieber and so manyTell'em
Kmmk ππππππKazi tukufu ya M.b.o ya P diddy hiyo ...huyo mpumbavu alimchukua babu tale kwenda naye kwa p diddy akijua didi atamla tale tu..mwamba akasema msilete upuuzi akawafumua nyuma wote wawili.
For sure πPididi effect
Vipi mkuu huyu sio classmate? πWho's this guy.....π€
Ikweji ndo ile trousers πInaitwa Ikweji π
Ndio πIkweji ndo ile trousers π
Bana juu chini niachie π€£
Kwa ukilipigilia huwa unadundika kwa madaha kama woodcock bird walk πNdio π
Kijana wangu Monetary doctor, akiona hii..... π€. kwanza ngoja nimpokonye simu.Msanii wenu ana agenda zipi, mbona haeleweki. Kama kuna washauri wake wanasoma uzi huu wamfikishie ujumbe, anakoelekea ni kubaya.
View attachment 3591216