Kilemakyaaro
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 5,050
- 5,078
Kama kweli alimshambulia acha aipatepate muda mbona kama mchache sana, iwe aliudhiwa na huyo askar au lah kiongozi mshenzi hafai kuigwa
Ugali ni mtamu, lakini sio wa jelaAsante kwa taarifa,akitoka huko atakua kajifunza kuheshimu sheria za nchi kama wenzake Sugu,Lema,Matiko na Mbowe.
Acha siasa kwenye mambo ya msingiBaba Levo ni mtetezi wa Bodaboda, Bajaji na wanyonge wajasiriamali katika manispaa amewapambania vya kutosha leo amepatikana na hatia kwa nia ya kuwatetea wananchi wa mji mzima, Mwanga ndipo alipozaliwa baba levo. Kamati ya Madiwani imeshakata rufaa dhidi ya hukumu hiyo.
Ukishindwa rufaa hukumu ya awali ndo inatekelezea sio kuongeza adhabuAcha siasa kwenye mambo ya msingi
Kujichukulia sheria mkononi ni kosa la jinai,adhabu aliopewa ni ndogo sana
Sijawahi kuona kamati ya siasa ikakata rufaa ya jinai,acha kupotosha
Anatakiwa mfungwa ndie akate rufaa,na akishindwa anaongezewa adhabu
Ndugai baada yakumpiga yule myombea mwenza,alipewa adhabu gani?Acha siasa kwenye mambo ya msingi
Kujichukulia sheria mkononi ni kosa la jinai,adhabu aliopewa ni ndogo sana
Sijawahi kuona kamati ya siasa ikakata rufaa ya jinai,acha kupotosha
Anatakiwa mfungwa ndie akate rufaa,na akishindwa anaongezewa adhabu
Na sasa ni supika mkuu!! Hapa kijani hawasemi; na ukute hata hakumpiga bali anabambikiwa kesi! Nani asiyewajua polisi kwa kubambikia kesi wenzao?Ndugai baada yakumpiga yule myombea mwenza,alipewa adhabu gani?
Ndo hivyo,upendeleo hautokuja kuisha... pole yake mh. diwaniNa sasa ni supika mkuu!! Hapa kijani hawasemi; na ukute hata hakumpiga bali anabambikiwa kesi! Nani asiyewajua polisi kwa kubambikia kesi wenzao?