Msanii nisie muelewa

Msanii nisie muelewa

menzenu Timbolo simuelewagi kabisaa
hata nyimbo yake ikipigwa club huwa natoka nje

wenzangu msanii gani hamumuelewagi?



Mimi wasanii wote wa fleva siwaelewagi, nawaona wote feki kwa kuvamia vitu vya kuiga na kujiita wanamuziki wakati si lolote. Mtu huna talent eti unajiita mwanamuziki, kuimba na tungo ni za ubabaishaji. To hell with fleva!
 
namdis Ay na dudu baya. yaani hawa hata wanipe CD zao bure siwezi kusukiliza nyimbo zao
 
Hata mimi huyu dogo simuelewi pamoja na baba levo mwili mkuuuuubwaa akili hana hata kidogo...Ben pol anajua kuimba ila simpendi kwa sababu demu wangu anampenda sana huyu dogo mpaka sio vizuri yani!!
mzee wivuutakuua kaka.
 
Back
Top Bottom