Msanii Ninayemkubali

Msanii Ninayemkubali

Linah anabebwa si msanii wa ukweli!

kuna gospel concert moja nilihudhuria kuna wadada wawili walikuwa wanaimba na linah naye alikuwepo, lakini alifunikwa na hao wadada mpaka basi wala hakusikika!

kwahiyo Linah ni msaniii wa kutengenezwa akiingia Bongo star search hata 30 bora hafiki!
 
wasanii wa ukweli wapo wengi mfano linex, banana etc

banana ni wa siku nyingi lakini ameniangusha, nilitegemea angehit internationally lakini inaonekana ameridhika tu ku-hit hapa hapa tu locally!
 
Mzeee yussuf
na mkewe rangi ya jogoo
 
tunajua ana wake wawili mi namuongelea rangi ya jogogo a.k.a malkia vipi hukusoma comment vizuri au???

Kwani rangi ya jogoo ndo rangi gani?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom