Msanii Maarufu Hapa Nchini Mwaka 2035

Msanii Maarufu Hapa Nchini Mwaka 2035

SHIEKA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
8,240
Reaction score
4,280
Miili yetu inachoka jinsi miaka inavyosonga mbele.Inaaminika kwamba
huyu hapa ni msanii maarufu wa kike atakavyokuwa mwaka 2035

WEMA EPETU 2035.jpg
 
Hapo naona janja ni umeacha mdomo kama ulivyo na lipstick yake ili tusimpotee kabisa. Hebu upige touch ya kiutu uzima uwe na mawimbi kidogo bila kumpotezea taswira. Hata kapua kanahitaji "mistari ya enzi" kidogo.
 
Back
Top Bottom