Msanii Maarufu Hapa Nchini Mwaka 2035

Msanii Maarufu Hapa Nchini Mwaka 2035

Hapo naona janja ni umeacha mdomo kama ulivyo na lipstick yake ili tusimpotee kabisa. Hebu upige touch ya kiutu uzima uwe na mawimbi kidogo bila kumpotezea taswira. Hata kapua kanahitaji "mistari ya enzi" kidogo.
Yaani Drifter kwa maoni yako unaona kwamba atazeeka zaidi ya jinsi picha inavyoonesha? Mimi naona ni
hivohivo tu hiyo unayosema itakuwa mwaka 2040!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom