TUKUTUKU
JF-Expert Member
- Sep 14, 2010
- 11,765
- 4,033
Nikama kanenepa mno.
Si kanatumia yale mambo,lazima kanenepe!!
Nikama kanenepa mno.
majuto ni mjukuu!!!
kuna kamovie kamoja kalisema "unaniita mi katoto, kwa taarifa yako naweza kumpagawisha babu yako, baba yako na we mwenyewe".......nikasema duh salaleh!
Kuna wakili toka sauzi anakuja kuweka ishu sawa....Kamefika mwisho sasa!
Kakapagawishe gerezani.
Kuna wakili toka sauzi anakuja kuweka ishu sawa....
Mungu amsaidie huyu mtoto naona mama yake anafurahia vijisenti anavyoletewa mhh!
"kuliko kuzaa watoto 10 wasio na faida, ni heri mimba iliyoharibika"
wewe ndio the don unaweka mambo sawa nini?>
Kameshazeeshwa maskini loh!.,
"kuliko kuzaa watoto 10 wasio na faida, ni heri mimba iliyoharibika"
demu wangu
Wakili toka sauzi atafanya nini? unajua watz wengine ni ma boflo sana, wanafikiri ukikodi wakili toka sauzi atasaidia kuliko wakili wa hapo dsm. kwa kesi ya homicide kama hii, wakili wa sauzi hatamsaidia kabisa, hao wa sauzi wanafaa kwa kesi za kibiashara labda napo kidogo tu.Kuna wakili toka sauzi anakuja kuweka ishu sawa....