Daa mpendwa, hii lugha ni kali!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Haimpendezi mtoto wa kike!!!!!!!!!!!!!!!
Halafu unajua kinywa huumba.................na wakati mwingine kimtokacho mtu ndicho kiujazacho moyo wake!!!
Tuliza moyo!!!!

kuna kamovie kamoja kalisema "unaniita mi katoto, kwa taarifa yako naweza kumpagawisha babu yako, baba yako na we mwenyewe".......nikasema duh salaleh!
Mwanamke huwa na furaha awapo mjamzito,
na jinsi siku zinavyoenda hufurahi sana
maana anajua yu atapa mtoto,
bali kuna sili kubwa juu ya atamzaa mtoto wa aina gani
mtoto ni mtoto laKini kuna mingine ni mitoto
haka katoto kwa kweli kanavutia siyo utani... mtakapo kaona naomba mkaambie nakakubali sana na kuna mtu anajua ni jinsi gani ntakapata kupitia account yake ya facebok basi naomba anipe e-mail yake jamani...:wink2: