Money Stunna nimecheka sana hizo picha za uwanjani hasa pale nsajigwa anapomshangaa.
Yaani wenzake wapo katikati ya mechi ye anaenda mkumbatia kaka uwanjani???
Na yule aliompiga Mheshimiwa Mwinyi kibao angekuwa Sharobaro sasa hivi angekuwa na totoz kali za bongo movies au bongo fleva kwa bahati nzuri yule ni swala 5 hawezi kufanya hivi
Jamaa anaitwa ibrahim said, hana msimamo mkali sana ila anaijua dini kwa kiasi chake. Hakuwa na matatizo ya akili kama watu na vyombo vya habari vilivyoaminisha watu, ana akili zake timamu na za wastani.
Kuprove hilo, those days wakati wa shule yake. Alipata kusoma kati ya best schools kwa tanzania enzi hizo (early 2000's). Nazungumzia Ilboru na Tabora boys. So huwezi niambia alikuwa hana akili timamu, na wakati tukio lile linatokea, jamaa ndio alikuwa kamaliza form six,
Ile issue ilimlostisha kwa kiasi fulani jamaa.
Sasa hapo munacho dis ni nini?
Mlitaka awe na nani? Ndo mngelizika?
Wengine hapa munawapenzi micharuko kuliko huyo wa lina.
Ila pamoja na ushabikii yaan mwanaume mwenzio unamkimbiliaa aisee ningekua mimi angekua kaniabisha sanaa maana ningeona kaka ni wa mana kuliko yeyee tenaa
ilimlostisha kivipi?
Ilimkosesha kwenda chuo jamaa kwa muda stahiki. coz kama sijakosea mwaka ule ndio jamaa ilipaswa afanye mishe za chuo, badala yake akaishia selo.
Nafikiri mshamuona vya kutosha,Kibongobongo ashakuwa celebrity naye anabeba totoz
Ukiwa huna nyota ya wanaume huna tu aisee karuka majivu kakanyaga motoo
Ukiwa huna nyota ya wanaume huna tu aisee karuka majivu kakanyaga motoo
Hiyo ya uwanjani ndio imekua habari zaidi ya kutoka na linah, ana mahaba na KAKA huyo kaka