vijana wa mr 2 sugu hao
lazima wafuate nyayo zake.
uamuzi mzuri sana.
muziki gani uliomshinda? Kwa kukesha kwako mtandaoni kwa buku 7 huwezi kuwa karibu naye hata kidogo, Jay hana njaa ya kiasi hicho. Huo ndio ukweli.Muziki umeshamshinda kaamua awe mchumia tumbo wa CHADEMA.
Sidhani kama ataingizwa kwenye mgao wa ruzuku wanaogawana pale makao makuu.
Bado tuna mtaka Mpoto, Lady Jay dee, AY na Reginal Mengi
Afunguliwe kesi kwa umuhimu gani alionao? huko ku rap! akarap tu! hana jipya!
Sasa hvi hicho chama kitageuka bendi kabisa anatesti zali anadhani atapata jimbo wrong turn kapoteazali la mentali linaishia kwenye nyimbo tu
Mkuu Ritz
Wanazi wa Chadema wamekosa habari zenye mshiko na maslahi ya taifa letu; hivi huyu mtu prof. Jay ana umuhimu gani kwa maisha ya mtanzania wa kawaida mpaka habari itangazwe kiasi hiki? Mimi nilifikiria P. Diddy kauchukua uanachama wa Chadema. Hawa watu ni wehu kiana wakiwa pale Togo wakishakatiwa buku kadhaa akili zao zinakosa upeo wa kufikiria.
Chama
Gongo la mboto DSM
CC ZeMarcopolo
Wanachadama wa chadema wanagawanywa kwa makundi.
Ndio maana mtoto wa Wassira pamoja na kuwa hajawahi kufanya jambo lolote la maana lakini anapewa heshima kubwa kuliko Mohamedi Mtoi ambaye ameshajitolea sana kwenye shughuli za chama.
J hajawahi kufanya siasa yoyote, anachotaka ni kugombea Ubunge baada ya kushawishiwa na Sugu.
Mkuu Ritz
Wanazi wa Chadema wamekosa habari zenye mshiko na maslahi ya taifa letu; hivi huyu mtu prof. Jay ana umuhimu gani kwa maisha ya mtanzania wa kawaida mpaka habari itangazwe kiasi hiki? Mimi nilifikiria P. Diddy kauchukua uanachama wa Chadema. Hawa watu ni wehu kiana wakiwa pale Togo wakishakatiwa buku kadhaa akili zao zinakosa upeo wa kufikiria.
Chama
Gongo la mboto DSM
CC ZeMarcopolo
we si ak arobaini na saba? mbona muoga? ak gani wewe ebo!
Sasa hvi hicho chama kitageuka bendi kabisa anatesti zali anadhani atapata jimbo wrong turn kapoteazali la mentali linaishia kwenye nyimbo tu
Mkuu Ritz
Wanazi wa Chadema wamekosa habari zenye mshiko na maslahi ya taifa letu; hivi huyu mtu prof. Jay ana umuhimu gani kwa maisha ya mtanzania wa kawaida mpaka habari itangazwe kiasi hiki? Mimi nilifikiria P. Diddy kauchukua uanachama wa Chadema. Hawa watu ni wehu kiana wakiwa pale Togo wakishakatiwa buku kadhaa akili zao zinakosa upeo wa kufikiria.
Chama
Gongo la mboto DSM
CC ZeMarcopolo
Mohamedi Mtoi,zawadi za kigiriki hizi usizipokee! Pokea kutoka kwa yeyote si hawa Wagiriki.