dada white
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 1,228
- 515
Ni habari njema kwa wapenda mabadiliko. Lakini kimtazamo wa kisiasa na kimuziki huwezi kumlinganisha Sugu na Prof. Sugu alianza harakati tangu enzi ya chama Kimoja na ni pure hardliner na ni risk taker(single yake ya kwanza alitoa 1985 ikiitwa "Ni mimi" enzi hizo akiitwa 2-Proud).Baada ya hapo aliendelea kutoka na nyimbo za kiharakati kama "niko mikononi mwa polisi".Harakati zake hakikuishia majukwaani tu. Mara kwa mara alikua anagombana na Ruge na kusaga (Mawingu studio then clauds) kwa kudai haki yake wala hakuogopa kwamba nyimbo zake zitaminywa na Radio/TV station kwa kudai haki yake.
Prof. Jay amekuja earlier 1990s chini ya Hard Blasters na amenogesha sana Bongo flava-ninamkubali.Japokua nae ana nyimbo kadhaa za kiharakati kama "Kikao cha dharura..aka ndio mzee". Lakini bado kimtazamo huyu ni soft ukilinganisha na Sugu. Sugu ameonesha njia. Prof. Jay karibu kwenye harakati za ukweli muwaokoe watanzania na CCM iliyopoteza dira ya kuongoza na sasa kinatawala.
Hv kwann unakurupuka kupost ujinga ujinga,ndo mana inafikia mahala watu wanaanza kufikiri kana kwamba JF ni ya WAHUNI tu,leo hii kijana unaulizwa kati ya KUKU na BATA anamchagua yupi?Unajibu MBUZI,halaf unacheka ukidhani ushindi,Wasanii kuwa CCM sawa CHADEMA hapana!Huu ndo ufinyu wa mawazo na fikra zisizopevuka.Nchi za Haiprof j kuingia kwenye siasa ni kujimaliza,me sioni kama ni sahihi yeye kufanya vile na tena kwenye chama cha Chadema
daaah pole sana na r.i.p prof j
Amini nakwambia prof. J ndo mbunge wa songea mjini mwaka 2015 na si vinginevyo!
Sasa harakati ndio zinapamba moto karibu prof jay umefanya maamuzi sahh sana japo umechelewa ila sio issue muda upo.. Karibu songea kumtoa nchimbi tena utamtoa kirahisi sana.. Yani yule ni mwepesi kama kishada.
mkuu unaonaje ukabadili username ukatumia ufisadi kwanza? Maana sikuelewi!vijana wana msemo wao, kaingia choo cha kike
kwa sugu mlisema hivohivo! Shame on you!Muziki umeshamshinda kaamua awe mchumia tumbo wa CHADEMA.
Sidhani kama ataingizwa kwenye mgao wa ruzuku wanaogawana pale makao makuu.
Komba,Kamata,Mlata wao wanaimba nn?Mbna hamtaki mabadiliko?Muziki umeshamshinda kaamua awe mchumia tumbo wa CHADEMA.
Sidhani kama ataingizwa kwenye mgao wa ruzuku wanaogawana pale makao makuu.
sio wasanii tu, mbona unasahau wafanya biashara na maprofesa kucha vyuo kukimbilia siasa?Wasanii wa kibongo njaa ndiyo zinawasumbua baada ya kuona muziki haulipi wameamia kwenye siasa.