Msanii Joseph Haule (Prof. Jay) ajiunga CHADEMA

Chadema sasa kuna maprofesa wengi.

1] Prof. Jay

2]Prof. Safari

3] Prof. Baregu
 
kwa taarifa yk nazifahamu siasa za songea vilivyo, songea ccm inashinda kiujanjaujanja tu na si vinginevyo! Tatizo la songea kwa chadema ni kutoweka mgombea anayekubalika na wanasongea, mbogoro hawezi kufanana na prof. J! Pili huwezi kuleta mabadiliko kwa mkoa wa ruvuma na taifa letu kwa kupitia ccm hata kidogo! Kama unapenda ufisadi ccm utaiona iko vizuri! Nikupe mfano je songea kuna umeme wa gridi ya taifa? Je tatizo ni nin? Kama sio siasa za maccm?. Je nchimbi ni mbunge wa vitendo? Kiujumla wabunge wa mkoa wa ruvuma ni wasemaji wa serikali na si wawakilishi wa wananchi! Pia kama raia mwema naomba nithibitishie kwamba chadema wanagawana mil. 400 kama msaada toka denmark!
 
mmeanza majungu yenu, komaa profe j.!
 
Yees, majembe yanajipanga! Vipaji ambavyo hata ukiunganisha Wabunge CCM 10 hutapata kichwa cha Prof Jay na baaado...next may be...Mrisho..Mpoto....Moto ule ule.,.."Mwananchi kwanza...", mafisadi watakimbiana! Majangili 'vinana' yatakimbiana...! Tunawasaka kwa nguvu ya umma, nyimbo, na hoja za msingi...ndani na nje ya ulingo wa siasa!!
 
Hongera Prof. J. Na mbunge mtarajiwa. Nikukumbushe tu kwamba usitegemee kupongezwa na mtanzania yeyote kwa uamzi wowote utakaoufanya. SIMAMA MWENYEWE MAANA UTAKUWA MBUNGE MWENYEWE. Kama mwigulu (mtoa matusi ya nguoni kwa watz) ni mbunge, kwa nini ushindwe wewe ambaye unapendwa na watz wengi?.
Big up Prof. J
 
Huyu jamaa ni muhimu saana kwa chadema, kuna watu watambeza lakini kiukweli jamaa ana wafuasi wengi sana. Naamini ataitumia taranta yake vizuri ktk siasa. Aaaa ndio mzee.......
 
Muziki umeshamshinda kaamua awe mchumia tumbo wa CHADEMA.

Sidhani kama ataingizwa kwenye mgao wa ruzuku wanaogawana pale makao makuu.
 
Hapo vipi? Wasanii wanatakiwa kuwa makini wanapochagua vyama, ama sivyo tutawaona waganga njaa tu.



Joseph Haule MC Shupavu, wa mitulinga...
 
hali mbaya tumboni ameamua kujilipua........wanasema kama njaa inauma kula chochote alimradi unanusuru uhai wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…