Msanii Joseph Haule (Prof. Jay) ajiunga CHADEMA

Jamani tunaomba pro chadema na wapenda mabadiliko katika taifa letu wamshawishi na Roma Mkatoliki ajiunge rasmi na makamanda, itakuwa imetulia sana, hatutakuwa na haja ya kuyakodi kina diamond kama maccm yafanyavyo!

sikiliza wimbo wa R.O.M.A-mathematics utaskia "sisaliti,sirudishi kadi ya chama kama nakaaya"
jamaa tayari yupo chadema tangu long!
 
Kwahiyo sasa hivi CDM ina Maprofesa wa 4, Baregu,Safari, Kulikoyela Kahigi na Profesa J! Hongereni sana makamanda
 
Pasipokuwaelimisha watu wapige kura na kuzilinda hawa jamaa wataendelea na mchezo huo huo...mwizi haachi kuiba mpaka....
nakuunga mkono mkuu, tutapambana kwa njia zote, kwanza kwa kutoa elimu ya uraia, pia kuwapa mbinu za kulinda kura! Ccm wametunyonya vya kutosha kusini na taifa kiujumla!
 
mkuu kweli wewe ni mtu wa maccm, acha uwongo lini nchimbi aliishi songea? Pili prof j hataki kutumia siasa kama wafanyavyo wanaccm kujitajirisha binafsi, j amejiunga na chadema ili kupigania ukombozi wa awamu ya pili ya taifa letu! Tatizo la wanaccm wengi ni kutumia siasa kuwanyonya wananchi na si kuwasaidia! MWAIKI alikosa ubunge baada ya kuzidiwa rushwa na nchimbi ndani ya ccm na si vinginevyo!
 



Prof jay akiingia anaanza na kuondoa wakimbizi wote kama wewe warudi kwao Malawi.....na akikuonea huruma atakuanzisha shule darasa la kwanza ukajifunze kiswahili.
 
Natoa wito kwa wanaruvuma wote tumpe support kamanda prof. J kwa kuwapigania wana ruvuma wote kuanzia tunduru, songea mjini., songea vijijini na hata mbinga, bila kuwasahau wana namtumbo kwa kuondoa walanguzi wa majimbo kama komba, nchimbi, mtutura, makani. Mbunge ambaye angalau tunamheshimu ni jenista na si makupe hayo mengine! Saa ya ukombozi ni sasa ndugu zangu wana ruvuma!
 
Ni uamuzi sahihi aliofanya kwani tumeshuhudia waimba nyimbo za Mapenzi zisizohamasisha na kutaja hali halisi ya maisha ya Watanzania wanaishabikia CCM lakini wanaoimba nyimbo za kusaidia,kuchambua na kuelezea hali ya siasa ya Tanzania wanaishabikia CHADEMA. KARIBU SANA PROF. JEEEZ KWENYE MAPAMBANO.
 

sawa ila nafikili siasa za songea uzijui vizuri ....nchimbi kweli kabisa alikua hakai songea ,ila swali kwako aligombea chadema?...ukipatajibu nafikili utajua kua ninacho zungumzia nini.sasa una sema anataka kufanya mabadiliko ya pili kitaifa hayo mabadiliko ni yaani gani kama kuongoza maandamano sawa hatavyunjwa miguu.ila nina mshauli achukue kadi ya ccm na hayo mabadiliko anayo yataka atayafanya akiwa ndani ya ccm ila tofauti na hapo ni kusubilia million 400 kutoka denimark walizo pewa chadema wagawane

songea tuna taka mbunge wa vitendo si maneno....
 
Katika nyakati hizi kila mwenye akili zake timamu apime mwenyewe na kutoa maamuzi ya wapi aelekee, ambaye bado hajaamua aelekea wapi apewe muda ili atafakari zaidi. Kuna makundi/kambi mbalimbali ambazo zinahitaji watu, nyingine kwa manufaa ya kambi, nyingine kwa manufaa ya wananchi wote. Usipotafakari vizuri unaweza geuzwa ngazi ya wajanja
 
prof nakukubali may God protect u from evil leader
 

Mchawi wa nini mkuu? Wa maswali?
 
Kamanda Joseph Haule karibu sana kwenye chama cha ukombozi, kuanzia sasa jikane mwenyewe uwetayari kuwa mpiganaji wa vita vya ana kwa ana usiogope vitisho kamanda. Tushaa zoea kuona makamanda wakibambikizwa vikesi visivyo na mbele wala nyuma so usiogope kwani maccm hawajawahi shinda ktk vikesi vyao. Wapi Roma, afande Sele, Kala, FREEDOM IS NOW NOT TOMORROW.
 
prof j kuingia kwenye siasa ni kujimaliza,me sioni kama ni sahihi yeye kufanya vile na tena kwenye chama cha Chadema
daaah pole sana na r.i.p prof j
 
Ameona kwenye muziki pamekua pagumu, atashindana wapi na kina diamond? Bora akatafute kula kwenye siasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…