Msanii DIAMOND PALTINUM in his new ride MERC SL500

thanks much to his talent ambayo imemfanya akawa anaimba sehemu ya kishua mbaya.. labda akijitahidi atapata..
 
diamond_mawzo.jpg

Nani kasema wasanii wa bongo hawana maendeleo, check mchuma mpya wa DIAMOND..

kumbe haya ndo maendeleo?
Mi nilidhani ni matanuzi...
 
we eltoro acha upumbavu,ulikozitoa hizi picha ni dhahiri unajua ilikuwa kwa ajili ya shooting,ila kwa uchizi wako umemuweka kaka wa watu makusudi humu ukijifanya hujui lolote ili achambwe....ushindwe na ulegeee pusi wee
 
Hilo gari co la daimond bali la washkaji flan hv wametoka marekani hz benz zipo kama 5 hv mjini zina plet number imeandikwa rich texas daily hao washkaji wanawekaga mafuta sheli ya engen hapa mikocheni so asiwadanganye watu ni lake.

Dah! afadhali ,mawazo yalishaenda kwa cameroon!
 
Jamani acheni wivu kwani kuwa na namba za muda Texas ndio haliwezi kuwa lake na kwa msiojua SL500 si chini ya US$ 50,000

$50k unless you're reffering to used one. Brand new is double of that price mkuu...
 
Straight Talk:Hakuna maendeleo hapo, sana sana hilo gari litamrudisha nyuma tu kimaendeleo kuli gharamia. KUmbuka gari sio asset ni liability, linakula hela toka mfukoni mwako , haliingizi hela yoyote.
 
diamond_mawzo.jpg

Nani kasema wasanii wa bongo hawana maendeleo, check mchuma mpya wa DIAMOND..
arifu huu mchuma si wa dayamondi.....wa mchizi mmoja kadondoka toka majuu.....mara kibao namuona huyo mchizi anakruzi kitaa na shori wake....labda kama kamuuzia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom