Msanii Diamond katika ubora wake

Msanii Diamond katika ubora wake

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
12,333
Reaction score
5,315
Huyo mwingine ndo nani?
 

Attachments

  • 1430391200438.jpg
    1430391200438.jpg
    20.3 KB · Views: 1,014
Simpendi Ney wa mitego mimi!yaani toka atoe ile nyimbo yake ya wamepanda wameshuka jinsi ilivyokuwa na matusi nyimbo ile sina hamu na huyu chizi
 
Utaitwa hater shauri yako

Ni bora tu waniite hivo lakini sio huyu baba!kila nikikumbuka alivyoimba "unajua kwanini mama yako alimpenda baba yako??,
Mbona anasura mbaya baba yakoo,au mamayako alifata hela kwa baba yakoo!!" na akaimba ushenzi mwingine mwingi kwenye ule wimbo
 
Simpendi Ney wa mitego mimi!yaani toka atoe ile nyimbo yake ya wamepanda wameshuka jinsi ilivyokuwa na matusi nyimbo ile sina hamu na huyu chizi

Je yeye anakupenda? pia anajua kama humpendi? relax
 
Ni bora tu waniite hivo lakini sio huyu baba!kila nikikumbuka alivyoimba "unajua kwanini mama yako alimpenda baba yako??,
Mbona anasura mbaya baba yakoo,au mamayako alifata hela kwa baba yakoo!!" na akaimba ushenzi mwingine mwingi kwenye ule wimbo

We hupendi Kujua mazaako alimpendea nini mdingi? Labda mkwanja au mkuno yote kheri...
 
Simpendi Ney wa mitego mimi!yaani toka atoe ile nyimbo yake ya wamepanda wameshuka jinsi ilivyokuwa na matusi nyimbo ile sina hamu na huyu chizi

Hata yeye hakupendi na hana time na wewe:boxing:
 
Neema Wa Mitego, Jamani Ney' Amakweli maanani hakosei' kwa jinsi nnavyompenda Ney
 
Ni bora tu waniite hivo lakini sio huyu baba!kila nikikumbuka alivyoimba "unajua kwanini mama yako alimpenda baba yako??,
Mbona anasura mbaya baba yakoo,au mamayako alifata hela kwa baba yakoo!!" na akaimba ushenzi mwingine mwingi kwenye ule wimbo
kwa iyo ukweli ndio unakufanya umchukie msanii
 
Back
Top Bottom