Asante sana ushauri wako umenigusa naahidi kuufanyia kazi pia kuwaelimisha wenzangu wenye ndoto kama yanguCha kwanza ni kumtanguliza Mungu kwenye kila unachofanya kama unamwamini lakin, zaid ni kupenda na kuthamini kile unachokifanya, zingatia kuwa na vyanzo vingine vya kukuweka mjini ukitegemea uigizaji pekee, utaishia kupigania kiki tu ila kama una mishe zako, hutakuwa na panic za hovyo wala kukurupuka kwenye kazi zako.
NB: Vijana wengi wakishaanza kuonekana kwenye kioo huwa wanatia nyodo sana, epuka sana kumdharau mtu, huwezijua ni nani na ana influenc gani kweny industry
Hence Goodluck!