Msanii Chiligati na kauli zake zinavyogeuka kama Kinyonga

Kutoka Gazeti la MwanaHALISI la August 26, 2009

Kutoka Gazeti la Mwananchi la Sept 15, 2009

Tutaona na kusikia mengi sana yaliyojaa usanii wa hali ya juu katika safari hii ya kuelekea October, 2010 kutoka kwa viongozi mbali mbali ndani ya Chama Cha Mafisadi ili kuomba KULA (isomeke Kura) kutoka kwa Watanzania.

huyu hakawii kutuuza ndani ya nchi yetu, na huo uwaziri waliompa ndio kabisa tutauzwa na nyumba zetu
 
To the best of my personal understanding, Chiligati as a person is humble, very disdainful, and a man of people. His arrogance now is a product of being coerced in a barbaric and corrupt system. I also agree with you blaming him for having accepted to work under this system, which directly translates into him also being corrupt, irresponsible, barbaric, non-caring and all that qualities of bad governance. If he is really not falling into that list of shame of Kikwete and company, he better quits, or else he stays and faces the wrath in the very near future.

Tuko pamoja na kwa nguvu zote tupige vita ufisadi na wizi wa raslimali zetu.
 
KAMA AMESHAUZA ARDHI YOTE UNAFIKIRI WEWE BADO HUJAUZWA??? KAMA ALITHUBUTU KUWAAMBIA WAKAZI WA KIGAMBONI KUWA MAAMUZI SERIKALI WALIYOFIKIA HAYAWEZI KUTENGULIA LABDA MUNGU AJE UNAFIKIRI KUKUUZA WEWE NDIO ATASHINDWA NDUGU YANGU!?? HIVI HII NCHI UNAFIKIRI TUNA VIONGOZI WENYE MAPENZI NA NCHI KWELI!?? KWA MFANO HUYO MHE. MWANGUNGA ANAYESEMA KUWA HAKUNA KILICHOTOKEA LOLIONDO HIVI WEWE UNAMFIKIRIAJE!??
Rais Jakaya una kazi sana Mhe. na hawa wasaidizi wako wanaongea na kutenda kama watoto wadogo bwana!!! Tanzania has long way to go!!!
 
Last edited:
To the best of my personal understanding, Chiligati as a person is humble, very disdainful, and a man of people.
Mkuu una uhakika na ulichokisema kweli!?? Mimi kwa nimfahamuvyo huyu Waziri hana hizi sifa ulizompa na kama anazo basi zilishayeyuka kitambo! A man of the people hawezi kuwa na kauli kama alizowaambia wakazi wa Kigamboni, Bunju, Kunduchi na mengine wakati wa kushughulikia matatizo yao ya ardhi. He must have an alternative solution rather than those discouraging words even if anasimamia sheria za nchi na hayo wanayoita maslahi ya nchi lakini yasiyojali wananchi wenye!
 
kwani JK Alipomteua hamkujua ni mjinga mwingine ameletwa katika madaraka ya CCM, BAADA MAKAMBA NA Tambwe hiza, bila kumsahau Nchimbi.
Hivi kweli hao watu wanaweza kumshauri nini rais wa Nchi?
Kuuza nchi kwa Waarabu, Wazungu na Mafisadi wa hapa hapa nothing else mzeeiya kama ulikuwa hujui
 
To the best of my personal understanding, Chiligati as a person is humble, very disdainful, and a man of people. His arrogance now is a product of being coerced in a barbaric and corrupt system. I also agree with you blaming him for having accepted to work under this system, which directly translates into him also being corrupt, irresponsible, barbaric, non-caring and all that qualities of bad governance. If he is really not falling into that list of shame of Kikwete and company, he better quits, or else he stays and faces the wrath in the very near future.

Tuko pamoja na kwa nguvu zote tupige vita ufisadi na wizi wa raslimali zetu.

.....So he has been deceitful to his own morals..........mmhh, simply kwa sababu ya system........what a leader!!..........
 
mimi SINA SHIDA NA VIONGOZI AINA YA MKUCHIKA ILA TATIZO LANGU NI YULE ALIYEMTEUA NA KUMWAMINI MPAKA AKAMPA DHAMANA NA HATA MPIGE KELELE VIPI YEYE HAONI NI TATIZO.........
 
kuna theory moja nimeshawishika kuamini kuwa hawa jamaa wanaiapply....!ni sala ya bwana,katika ule msari wa UTUPE LEO MKATE WETU WA KILA SIKU!

these guys will never conterprate!they will just talk talk talk,proveded they are given their daily bread!

SHAME ON THEM!
wtf
 
Folks if you think aloud and tie up the loose ends, you will notice that the Chairman of CCM thru his TBC1 live discussion with wananchi last week plus the 2,000 sms and e-mails he received thereafter has now realized that there is a growing resentment against CCM within the people of Tanzania because of shielding party cadres who are alleged to be involved in grand graft. Indeed this is a dangerous situation with regard to CCM in 2010 general elections and thus a quick dispatch of Makamba to Urambo to see Mr Speaker. Meanwhile let Chiligati disown his earlier statements on the subject.
 
Yaani kulitamka tu Jina la chiligati nasikia kichefuchefu.......jamani hawa watu wanakera sana..... unajua mtu akikuona wewe punguani atakuchezea mpaka achoke sasa idabidi wadanganyika tuamke tuonyeshe sasa basi tumechoshwa na huu usanii!!
 
Back
Top Bottom