Msambwanda ni furaha ya macho tu

Msambwanda ni furaha ya macho tu

7d2c9088ff2673f6867c1a9eaaca5464.jpg


Sent from my VF695 using JamiiForums mobile app
 
Nyumba ni Choo tu wakuu, Misabandwa unaweza kuliamsha dude ata kama umechapa vitatu
 
Ushauri wako nn sasa....

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
 
Ndio maana mara zote mi huwa napenda vi portable, kwanza huwa najipimia mwanzo mwisho misambwanda sio dili.
Hebu piga hata mahesabu madogo, je kama gesti itawaka moto msambwanda utaweza kuubeba kukimbia nao?? Lakini kiportable unakiweka begani, ndukiii

sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
Umefikiri sana mkuu
 
Daah kwakeli suala la misambwanda naona km linataka kuniletea ka ulemavu kupinda shingo kwa mbali Maana Huwa Cwez kuvumilia lazima nigeuke kufikia Jioni lazima nijikande shingo kwa shughuli nzima ya siku kucha mitaani



Sasa km kuna designer humu nitengenezee Kapelo moja matata Afu funga na side mirror ili nisipate shida na kuepuka Ulemavu huu....
 
Daaaaa

Hayaa mambo haya ni magumu sana, waatoto wazuri kwa shape ila tabia chafu kama dekio la chooni

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
Kwani unataka kiwaoa. Au inamaana wana tabia mbaya KITANDANI au?

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom