Msamaha wa Spika Job Ndugai utapokelewa na Watanzania?

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,596
8,639
Heri ya Mwaka Mpya!

Nimesikiliza press ya Mh Spika wa Bunge la JMT akiomba kwa watanzania na Mh Rais.
Mimi nipo na mtazamo tofauti.

1. Mh Spika kajeruhi watu wengi hasa watanzania na walikuwa wakisubiri ajikwae sasa yametimia, kwa wanasiasa wote wapenda haki wanamchukia Ndugai hasa ambavyo amekuwa akiwatendea wapinzani ndani ya bunge,hasa alivyoendesha swala la Tundu Lisu.

2. Kwa jinsi alivyoendesha Bunge kwa Awamu ya 5 ni dhahili watu wamemchoka na wanaposikia lolote limempata wananchi wanafurahia mabaya yake.
Pia kulikuwa na swala la bandari ya Bagamoyo aliumgana na Mwenda zake kupinga,ila baada ya kifo akasikila akipigia upatu swala la Bandari ya Bagamoyo!

3. Suala aliloliongea kuhusu Nchi kudaiwa na kukopa basi ni dhahili aliongea makusudi kabisa kwani alijua mpango wa serikali kuwa itakopa hakupaswa kuongea alichokiongea.

4. Kama ni mbinyo ndiyo umemsukuma kuomba msamaha basi niseme huu msamaha hautapokelewa na yeyote! Kwani maelezo yake hayaonyeshi kama anaomba msamaha kwa wananchi bali kwa kiongozi wa nchi.

5. Mh Rais kumsamehe atasamehewa kama alivyoomba ila rohoni hawezi kusamehewa amebaki na doa ambalo aliwezi kufutika kwa sasa kwani ameonyesha upande aliopo! Mh Rais anafahamu fika Spika ni muhimili hivyo aliyoyasema aikuwa bahati mbaya! Hivyo anaonekana ni mpinzani wake. Hivyo kwa kauli yake hawezi tena kumshirikisha spika jambo lake.

Nasema timing ya kuongea yale maneno haikuwa rafiki hivyo itakusumbu sana japo umeomba msamaha!
 
CCM ,...Unawajua?!

Tayari wamebuni Jambo ..ili kupima upepo na kuwapeleka Chaka ...na bila kufikiria Wtz ..wakukurupuka tayari washalivaliaa njuga!

Achana na wale watu... ...
 
Heri ya Mwaka Mpya!
Nimesikiliza press ya Mh Spika wa Bunge la JMT akiomba kwa watanzania na Mh Rais.
Mimi nipo na mtazamo tofauti.
1.Mh Spika kajeruhi watu wengi hasa watanzania na walikuwa wakisubiri ajikwae sasa yametimia, kwa wanasiasa wote wapenda haki wanamchukia Ndugai hasa ambavyo amekuwa akiwatendea wapinzani ndani ya bunge,hasa alivyoendesha swala la Tundu Lisu.
2. Kwa jinsi alivyoendesha Bunge kwa Awamu ya 5 ni dhahili watu wamemchoka na wanaposikia lolote limempata wananchi wanafurahia mabaya yake.
Pia kulikuwa na swala la bandari ya Bagamoyo aliumgana na Mwenda zake kupinga,ila baada ya kifo akasikila akipigia upatu swala la Bandari ya Bagamoyo!

3.Swala aliloliongea kuhusu Nchi kudaiwa na kukopa basi ni dhahili aliongea makusudi kabisa kwani alijua mpango wa serikali kuwa itakopa hakupaswa kuongea alichokiongea.
4.Kama ni mbinyo ndiyo umemsukuma kuomba msamaha basi niseme huu msamaha hautapokelewa na yeyote! Kwani maelezo yake hayaonyeshi kama anaomba msamaha kwa wananchi bali kwa kiongozi wa nchi.
5. Mh Rais kumsamehe atasamehewa kama alivyoomba ila rohoni hawezi kusamehewa amebaki na doa ambalo aliwezi kufutika kwa sasa kwani ameonyesha upande aliopo! Mh Rais abnafahamu fika Spika ni muhimili hivyo aliyoyasema aikuwa bahati mbaya! Hivyo anaonekana ni mpinzani wake. Hivyo kwa kauli yake hawezi tena kumshirikisha spika jambo lake.

anatia huruma. kashikwa pabaya
 
Kwangu mimi kuomba msamaha wa so called kosa ambalo kwangu sio Kosa ndio Kosa...., (Kama hakubaliane na hizi kopa kopa kukaa kwakwe kimya au kuomba msamaha wakati hakubaliani nazo ni unafiki)
 
Heri ya Mwaka Mpya!
Nimesikiliza press ya Mh Spika wa Bunge la JMT akiomba kwa watanzania na Mh Rais.
Mimi nipo na mtazamo tofauti.
1.Mh Spika kajeruhi watu wengi hasa watanzania na walikuwa wakisubiri ajikwae sasa yametimia, kwa wanasiasa wote wapenda haki wanamchukia Ndugai hasa ambavyo amekuwa akiwatendea wapinzani ndani ya bunge,hasa alivyoendesha swala la Tundu Lisu.
2. Kwa jinsi alivyoendesha Bunge kwa Awamu ya 5 ni dhahili watu wamemchoka na wanaposikia lolote limempata wananchi wanafurahia mabaya yake.
Pia kulikuwa na swala la bandari ya Bagamoyo aliumgana na Mwenda zake kupinga,ila baada ya kifo akasikila akipigia upatu swala la Bandari ya Bagamoyo!

3.Swala aliloliongea kuhusu Nchi kudaiwa na kukopa basi ni dhahili aliongea makusudi kabisa kwani alijua mpango wa serikali kuwa itakopa hakupaswa kuongea alichokiongea.
4.Kama ni mbinyo ndiyo umemsukuma kuomba msamaha basi niseme huu msamaha hautapokelewa na yeyote! Kwani maelezo yake hayaonyeshi kama anaomba msamaha kwa wananchi bali kwa kiongozi wa nchi.
5. Mh Rais kumsamehe atasamehewa kama alivyoomba ila rohoni hawezi kusamehewa amebaki na doa ambalo aliwezi kufutika kwa sasa kwani ameonyesha upande aliopo! Mh Rais abnafahamu fika Spika ni muhimili hivyo aliyoyasema aikuwa bahati mbaya! Hivyo anaonekana ni mpinzani wake. Hivyo kwa kauli yake hawezi tena kumshirikisha spika jambo lake.

Nasema timing ya kuongea yale maneno haikuwa rafiki hivyo itakusumbu sana japo umeomba msamaha!

Tumsamehe kwa sababu ya cheti chake, au tumsamehe kwasababu amekosea?
 
CCM ,...Unawajua?!

Tayari wamebuni Jambo ..ili kupima upepo na kuwapeleka Chaka ...na bila kufikiria Wtz ..wakukurupuka tayari washalivaliaa njuga!

Achana na wale watu... ...
Watakuja shtuka 2025 hii hapa na bado mbowe yuko ndani. Hawa ndio ccm
 
Atulipe na hela, ametukera sana
images (84).jpeg
 
Back
Top Bottom