Msamaha wa kodi kwa watumishi wa umma kufutwa. Imekaaje?

Seconded!!

Kuna watanzania wengi sana wanafanya kampuni binafsi wanalipwa mishahara midogo kuliko ya serikalini lakini hawanufaiki na misamaha hii.

HAKI SAWA KWA WOTE. Source CUF.

Wivu tu.

Hivi nilikuwa nataka kupata msamaha wa gari, kumbe umefutwaaa.

Mafi yake aliyefuta!!
 
Seconded!!

Kuna watanzania wengi sana wanafanya kampuni binafsi wanalipwa mishahara midogo kuliko ya serikalini lakini hawanufaiki na misamaha hii.

HAKI SAWA KWA WOTE. Source CUF.

Yaani umfanyie kazi muhindi, umfaidishe na familia yake utake msamaha!!!

Tukubali watumishi wa uma wanafanyakazi ya wananchi, hakika wanastahili msamaha!!

Eti liwekezaji lihindi linahotel ya 5 star ndio linastahili msamaha.
 
Wezi watupu. Hamna lolote. Ndo maana anko Magu anawanyoosha...
 
Misamaha hii ilitumika vibaya. Week chache zilizopita Bakwata walitakiwa kupeleka taarifa za magari/malori waliyoingiza kwa njia ya msamaha wa kodi, sidhani kama wameshatekeleza hilo. Huu ni mfano mmoja tu kati ya mingi iliyojificha.

Nashauri kabla hujalalamika, tuwekee wazi orodha ya wafanyakazi wote waliosamehewa, kisha vyombo vinavyohusika vithibitishwe kama ni kweli wanatumia vyombo hivyo kwa madhumuni waliyokusudia.
 
Back
Top Bottom