MSAMAHA NA KISASI!!

MSAMAHA NA KISASI!!

1. Hapana
2. Hapana
3. Sijui
4.hapana
5. Ushindi
6. Hapana
7. Inategemea
8 ndio ila sina uhakika
 
Yaani kuna kenge aliutia jiraha moyo wangu nimeshindwa kumsamehe kabisaaa, moyo wangu una uchungu saana kwa alichonifanyia sina amani wala sisongi mbele, lkn pia sifikirii kulipa kisasa wala sijawahi Katika Maisha yangu
 
Back
Top Bottom