Baada ya Rose Muhando kupotea kwa muda mrefu kwenye ulimwengu wa muziki wa injili, aliyekuwa meneja wake, Alex Msama amefunguka kumrudisha kwenye chati kama zamani kwani hivi sasa amebadilika.
Msama alisema alimuacha Rose kwa kuwa alikuwa akiwatapeli watumishi wa Mungu fedha alizokuwa akipewa kwa ajili ya shoo na kesi kibao kujaa polisi, lakini kwa asilimia kubwa hivi sasa ame-‘change’ hivyo atamrudisha soon.
Chanzo :Gpl
Funguza mzee, slogan ya humu huitendei haki.....JF where we dare to talk openlySijui ni kwanini najitahidi sana kumuamini huyu Mtu ( Alex Msama ) lakini moyo wangu unakataa. Nadhani Watu wa Msasani na hasa mitaa ile ya Shoppers Plaza Kisiwa, Chama mkabala na Tanesco na iliyopo Nyumba ya Rais Mstaafu Kikwete hadi kuja ilipo Hospitali ya Kairuki watakubaliana nami na hata kuungana nami katika kutomuamini kwa lolote Jamaa. Naomba niishie tu hapa tafadhali.
Amen mtumishi alikuwa anakubariki na sebene la yesu maana kama hujui kiswahili unaweza fikiria sebene tu.Mungu amwinue huyu Dada,,,alikua anabariki kweli jamanj
Funguza mzee, slogan ya humu huitendei haki.....JF where we dare to talk openly
Funguka sio wote tunaomfahamSijui ni kwanini najitahidi sana kumuamini huyu Mtu ( Alex Msama ) lakini moyo wangu unakataa. Nadhani Watu wa Msasani na hasa mitaa ile ya Shoppers Plaza Kisiwa, Chama mkabala na Tanesco na iliyopo Nyumba ya Rais Mstaafu Kikwete hadi kuja ilipo Hospitali ya Kairuki watakubaliana nami na hata kuungana nami katika kutomuamini kwa lolote Jamaa. Naomba niishie tu hapa tafadhali.
Aseme bwana mi nachojua jamaa kanjanja kama wahaya kuingizwa mjini sekundeFunguka sio wote tunaomfaham