Msama kumrudisha Rose Mhando

Mideko

JF-Expert Member
Mar 30, 2015
33,947
184,241
Baada ya Rose Muhando kupotea kwa muda mrefu kwenye ulimwengu wa muziki wa injili, aliyekuwa meneja wake, Alex Msama amefunguka kumrudisha kwenye chati kama zamani kwani hivi sasa amebadilika.

Msama alisema alimuacha Rose kwa kuwa alikuwa akiwatapeli watumishi wa Mungu fedha alizokuwa akipewa kwa ajili ya shoo na kesi kibao kujaa polisi, lakini kwa asilimia kubwa hivi sasa ame-‘change’ hivyo atamrudisha soon.

Chanzo :Gpl
 
Zama zake kwisha kazi na gospel imeanza change siku hizi nyimbo za gospel zinapigwa vipindi vya bongo fleva nyimbo ka bongo fleva tu ili mradi unatupia mstari mmoja ukisema bwana au Mungu na ukihojiwa wasema ni gospel.
 
Baada ya Rose Muhando kupotea kwa muda mrefu kwenye ulimwengu wa muziki wa injili, aliyekuwa meneja wake, Alex Msama amefunguka kumrudisha kwenye chati kama zamani kwani hivi sasa amebadilika.

Msama alisema alimuacha Rose kwa kuwa alikuwa akiwatapeli watumishi wa Mungu fedha alizokuwa akipewa kwa ajili ya shoo na kesi kibao kujaa polisi, lakini kwa asilimia kubwa hivi sasa ame-‘change’ hivyo atamrudisha soon.

Chanzo :Gpl

Sijui ni kwanini najitahidi sana kumuamini huyu Mtu ( Alex Msama ) lakini moyo wangu unakataa. Nadhani Watu wa Msasani na hasa mitaa ile ya Shoppers Plaza Kisiwa, Chama mkabala na Tanesco na iliyopo Nyumba ya Rais Mstaafu Kikwete hadi kuja ilipo Hospitali ya Kairuki watakubaliana nami na hata kuungana nami katika kutomuamini kwa lolote Jamaa. Naomba niishie tu hapa tafadhali.
 
Funguza mzee, slogan ya humu huitendei haki.....JF where we dare to talk openly
 
Mungu amwinue huyu Dada,,,alikua anabariki kweli jamanj
Amen mtumishi alikuwa anakubariki na sebene la yesu maana kama hujui kiswahili unaweza fikiria sebene tu.
Makoma bwana waliharibu gospel wao ndiyo chanzo.
Maana nyimbo zao zilikuwa zinagongwa club watu wanaruka majoka kuja kuskia kumbe ni gospel bwana
 
Funguza mzee, slogan ya humu huitendei haki.....JF where we dare to talk openly

Huyo ni Poti wangu ( mwana Mara / Musoma ) kabisa Mkuu hivyo naficha aibu kwani endapo nitamsema Yeye basi nitakuwa nimeutia pia aibu na Mkoa wetu wenyewe. In short tu ni kwamba kuna tofauti ndogo sana ya Kiwango cha Utapeli alichonacho Alex Msama na huyu Dokta Luis Shika ( tapeli wa ununuzi wa nyumba za Lugumi )
 
Sijui ni kwanini najitahidi sana kumuamini huyu Mtu ( Alex Msama ) lakini moyo wangu unakataa. Nadhani Watu wa Msasani na hasa mitaa ile ya Shoppers Plaza Kisiwa, Chama mkabala na Tanesco na iliyopo Nyumba ya Rais Mstaafu Kikwete hadi kuja ilipo Hospitali ya Kairuki watakubaliana nami na hata kuungana nami katika kutomuamini kwa lolote Jamaa. Naomba niishie tu hapa tafadhali.
Funguka sio wote tunaomfaham
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom