Msalaba

Msalaba

Huamini katika kumuombea mtu mkuu? Prayers change things Cc: Arabela

Mungu atusaidie sisi wa kiume tusizifahamu siri hizo.
Hivi Mentor ulikuwa unamaanisha kumbadili mtu through prayers? Ni kazi honestly, na inahitaji moyo mkuu kuuchukua mzigo wa mtu mwingine na kumuombea, ila tunzo yake pia ni kubwa sana. Huku kwenye urafiki inatia moyo kama unayemuombea na yeye awe anajiombea, hata ikitokea ameanguka tena nafsi yake inamuuma and mpo wawili kusaidiana kumnyanyua tena, so mzigo unapungua kidogo. Ingawa kwenye ndoa, inatokea mara nyingi tu mmoja ndo anabeba mzigo wa wanandoa wote na ndoa inaponyeka, and you should be well prepared for that, maana na wewe ukilegea tu ndoa chaliii. Me niliongelea kumbadilisha mtu kidigitali, mara sijui namdhibiti blah blah blah, au ile unaona kabisa hapa kushney ila unajipa moyo kuwa ndani ya ndoa atabadilika.
 
Usijiamini sana bro!

- Unaweza kuwa baba mwenye mtoto wa pili asiye wako: utatamani kuua I tell you.

- Unaweza kukutana na binti anakuaminisha yeye ndiye na wewe ndiye uliyeumbwa kwa ajili yake: kumbe she is just another kupe.

- Unaweza kuwa wewe ndo mchungaji mwanafunzi (tena wewe hii inakuhusu sana maana unapenda kuchovya chovya): siku anakuja anakuambia 'nina mimba yako' na hujui jana, juzi alikuwa na nani ndo utanielewa hakuna mbabe kwenye huu mchezo!

Sijasema kuwa haiwezi kunitokea mimi. Ni kwamba hata ikitokea, nitakuwa all right.
 
Hivi Mentor ulikuwa unamaanisha kumbadili mtu through prayers? Ni kazi honestly, na inahitaji moyo mkuu kuuchukua mzigo wa mtu mwingine na kumuombea, ila tunzo yake pia ni kubwa sana. Huku kwenye urafiki inatia moyo kama unayemuombea na yeye awe anajiombea, hata ikitokea ameanguka tena nafsi yake inamuuma and mpo wawili kusaidiana kumnyanyua tena, so mzigo unapungua kidogo. Ingawa kwenye ndoa, inatokea mara nyingi tu mmoja ndo anabeba mzigo wa wanandoa wote na ndoa inaponyeka, and you should be well prepared for that, maana na wewe ukilegea tu ndoa chaliii. Me niliongelea kumbadilisha mtu kidigitali, mara sijui namdhibiti blah blah blah, au ile unaona kabisa hapa kushney ila unajipa moyo kuwa ndani ya ndoa atabadilika.
Faith moves mountains!
 
Kwa sababu Mentor ni askari pia
Kaka Mentor, Bwana wetu Yesu Kristo Asifiwe......!

Hivi Mentor kwanini story zako nyingi ndani yake huwa kuna wahusika "maaskari"
Hawa maaskari uadilifu wao sijui upoje? Au wanahisi uadilifu ni kulitumikia taifa tu?
Kucheza na hisia za mtu kinyume na matarajio ya aliyekuthamini nayo pia ni utovu wa maadili...
Kastory katamu though na ulivyo mjuzi wa kupangilia...
 
Back
Top Bottom