Msalaba

Msalaba

Me naamini navyoishi na mtu ndo nazidi kumfahamu, obviously kuna mapungufu ntayakuta huko mbele na yakinikuta ntajua tu mlango wa kuyatolea . I accepted you before, ntajitahidi kufight for you hadi itakaposhindikana Lakini kujidanganya eti nambadilisha fulani awe nayemtaka mimi kwa sasa hivi mmh. Huyu ni mtu ambaye nimeshamreject tayari, lakini najilazimisha kuwa naye. Akirudi kuwa alivyo before, Nimejifail mwenyewe

Teh nimemuomba Mungu atusaidie ili Tuache kuwabambikizia

Omba Mungu akusaidie kwa kila jambo na usikiri kushindwa ikiwa bado una uwezo wa kujaribu tena tena .Always let God direct ur steps and u will be a winner everyday
Kwa msaada wa Mungu tunashinda ya Dunia, kwa mtazamo na utashi wa kibinadam hatuwez kila kitu
 
Na Mungu akusaidie sana!

Back to discussion ya mwanzo: haya maisha ya mahusiano na mapenzi ni changamoto sana. wengi waliapa kama wewe ila mwishowe unashangaa ndio waliopotea.
Amen, kwa neema tu sitopotea jamani, Naamini hivyo ( ndo unaniombea nini tena jamani mwee)
 
Omba Mungu akusaidie kwa kila jambo na usikiri kushindwa ikiwa bado una uwezo wa kujaribu tena tena .Always let God direct ur steps and u will be a winner everyday
Kwa msaada wa Mungu tunashinda ya Dunia, kwa mtazamo na utashi wa kibinadam hatuwez kila kitu
Amen mpendwa, nimefuta hiyo ya kushindwa ( ingawa yanaweza kutokea pia, sitowazia hivyo)
 
Well composed!
Inafundisha sana...
Ni kumuomba Mungu atusaidie tu...
Watu wako waongo sana na wagumu!
Celibacy before marriage ndio ilimuokoa huyu pastor otherwise angeuziwa mbuzi mwa gunia!!
 
Bana peter wee, ntajifunza kukupenda huku kwenye urafiki, nikishindwa there is no way I'd accept to marry you. Kujilazimisha kumpenda mtu nimeshafail zamani mnooo. And I can't even imagine mtu nisiyempenda anikiss hata mkononi, nafwaa. Nikikosaga wa kupendana, basi nabakigi tu single na inanipa sana amani ya moyo. It's all about the joy and peace I find in that person. Naenjoy mahusiano yangu, I don't endure mahusiano. Ntakuacha tu ukampate mtu ambaye ataaccept upendo wako na kureciprocate.

Nikuambie my sister wale watu walishaga olewa halafu wakaja kutoka na wanaume wao wazamani sio kwamba aliolewa kwa sababu hakumpenda jamaa ila wanatafutaga visingizio akishatokaga nje ya ndoa.shida iko kwa binadaam tatizo mtu ameolewa lakini hafungi milango ya kihisia,mtu ameolewa yuko busy na maisha yake ya Past,kutwa anachart na ma x zake wakiianza kuongea ujinga namna walivyokuwa wanakunana matokeo yake ni rahisi kutaka kukumbushia.Wengine tuko nao maofisini namna wanavyobehave u cant even imagine ni wake za watu,yaani unakuta mdada anavyomchezea mkaka mpaka yule mkaka anajikuta anamtongoza,mke wa mtu u cant behave anyhow.nowdays love is not gurantee of faithfullness
 
Me nilimjibu kwa context yake. Nimekuelewa vizuri sana kwa upande wako pia. Love alone sio guarantee ya uaminifu. Cha muhimu ukishaoa/olewa, basi funga milango kwa watu wengine
 
Heaven Sent na UMBWE1 mmeongea booonge la point aisee!!!! asanteni sana!

franktheson, ni kweli tunajidanganya unataka kuonja ili tusiuziwe mbuzi kwenye gunia lakini kumbe ndo tunajiweka kwenye hattari zaidi za kuuziwa mbuzi kwenye gunia. Mungu atusaidie.
 
Mara nyingi jamii imekua ikiwalaumu sana watoto wakike hasa akiwa mwanao au dada wa familia moja, kwakweli wasichana hawa wanaitaji malezi na mafunzo ya hali ya juu sana bila kusahau kuwaombea
 
Mara nyingi jamii imekua ikiwalaumu sana watoto wakike hasa akiwa mwanao au dada wa familia moja, kwakweli wasichana hawa wanaitaji malezi na mafunzo ya hali ya juu sana bila kusahau kuwaombea

Ni wakati wa kuwa wawazi kwa mabinti/dada zetu.
 
1. Baba yangu alikuwa askari

2. Mimi niliwahi kuwa askari

Ila tukiachana na la uaskari ulichosema ni kizuri sana. natamani wengine wasome pia... ""Kucheza na hisia za mtu kinyume na matarajio ya aliyekuthamini nayo pia ni utovu wa maadili...
Je mama alikusimulia jinsi alivyokutana na mzee..yaani baba yako..nadhani hiyo inapaswa kuwa sehemu ya pili ya simulizi yako.
 
Je mama alikusimulia jinsi alivyokutana na mzee..yaani baba yako..nadhani hiyo inapaswa kuwa sehemu ya pili ya simulizi yako.

Mkuu hiyo itakuwa sehemu ya tatu! Ingawa...
 
Wadada wa kilokole waache kuchagua chagua kama unataka mlokole mwenzio tafuta humo kanisani kwenu,.. eti ntamuombea abadilike hilo sahau!
 
Mama zetu wana siri nyingi na nzito mnoo! Mungu wasaidie tu kwa kweli mama zetu hawa
 
Back
Top Bottom