Msalaba

Msalaba

Wadada wa kilokole waache kuchagua chagua kama unataka mlokole mwenzio tafuta humo kanisani kwenu,.. eti ntamuombea abadilike hilo sahau!
Huamini katika kumuombea mtu mkuu? Prayers change things Cc: Arabela
Mama zetu wana siri nyingi na nzito mnoo! Mungu wasaidie tu kwa kweli mama zetu hawa
Mungu atusaidie sisi wa kiume tusizifahamu siri hizo.
 
sure, wadada wengi wa kilokole wameumizwa kwa mazingira haya, anakuja mhuni anamtaka anavaa kiheshima na kuhudhuria ibada kwa kipindi kifupi ili mdada aamini kuwa jamaa kaokoka then kinachofuata hapo ni kilio na kusaga meno kwa mdada. walokole punguzeni imani sana wakati mwingine tumieni akili za kuzaliwa kupambana na ulimwengu huu, walimwengu wa sasa hawaogopi kutumia njia za kiibada kufanikisha mambo yao
Akili za kuzaliwa na macho ya rohoni kipi kinaona zaidi? Huu mkasa usingekuwa kisa cha ukweli mimi nisingeamini. Maana niliwaza sana ilikuwaje huyu binti hakutaka kuwafahamu wakwe?

Ilikuwaje mchungaji hata basic sex knowledge hakuwa nayo?
Huwa nasikia mke/mume mwema hutoka kwa bwana. Sasa hapa yamewakuta "watu wa bwana". Damn!
Mkuu imeandikwa, "Mke mwema (R) mke mwema ..." Hilo la mume silisemei.

That aside, tunaponea wapi? These could have hapenned to a brother..,you for instance.
 
Mkuu imeandikwa, "Mke mwema (R) mke mwema ..." Hilo la mume silisemei.

That aside, tunaponea wapi? These could have hapenned to a brother..,you for instance.

Either way.

Yeah man, it could happen to any brotha. I don't know about others, but I'm for 100 I'll be all right. Survival of the fittest(literally), I guess.
 
Either way.

Yeah man, it could happen to any brotha. I don't know about others, but I'm for 100 I'll be all right. Survival of the fittest(literally), I guess.

Usijiamini sana bro!

- Unaweza kuwa baba mwenye mtoto wa pili asiye wako: utatamani kuua I tell you.

- Unaweza kukutana na binti anakuaminisha yeye ndiye na wewe ndiye uliyeumbwa kwa ajili yake: kumbe she is just another kupe.

- Unaweza kuwa wewe ndo mchungaji mwanafunzi (tena wewe hii inakuhusu sana maana unapenda kuchovya chovya): siku anakuja anakuambia 'nina mimba yako' na hujui jana, juzi alikuwa na nani ndo utanielewa hakuna mbabe kwenye huu mchezo!
 
Haha. Nimekumiss pia.

Kaboom mwenyewe sijamuona kwaya muda sasa.
Nyie mnaonga'ng'ania kuolewa, hivi mnajua mnachokililia?? tuulizeni wenzenu tulio ndani ya ndoa. Unakuta janaume mshahara halina wa kutosha, jingine elimu hakuna, kila kitu unafanya wewe kuanzia kufikiri adi kutenda. Unyumba wenyewe wa booking linajiweza siku mbili au tatu kwa mwezi, zilizobakia utajijuu!!Hili langu lalavi kutwa linalala na kukoroma utazani linataka kurest in peace. Basi bora lingekuwa bonge ningesema sawa. Na ikitokea tukatawanyika sijishughulishi tena kutafuta janaume lolote yataishia kuniangalia tu mxiuuu! nyie nganganieni tu kuwekwa ndani na hiyo mipumbu siku zaja mtalia na kusaga meno..vilio vya mbwa midomo juu!

nimeikuta kwa sinta aisee mtumie kaboom
 
Huamini katika kumuombea mtu mkuu? Prayers change things Cc: Arabela

Mungu atusaidie sisi wa kiume tusizifahamu siri hizo.
Mkuu mimi hakuna anaeweza kunbadili kwa maombi labda niamue tu mwenyewe,mambo ya imani huwa siyaelewagi kabisa
 
Geez! Did I say anything about being interested?

Before muendelee. Sikumaanisha WEWE ndo una majanga but I know when it comes to the area of ushauri hasa kuhusu masuala ya mahusiano/mapenzi na kama unataka serious ushauri basi mtu akuone wewe au The Boss. Sikuwa na nia ovu!!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ahsante sana sasa umeeleweka.

Back
Top Bottom