Msako wa majambazi 2006

Mwana va Mutwa

JF-Expert Member
Jun 9, 2009
459
53
mwanzo wa utawala wa awamu ya nne tulishuhudia msako mkubwa na kamatakamata ya waliodaiwa kuwa majambazi wakubwa na waliokuwa vinara wa uhalifu,tulishuhudia watu kadhaa wakipelekwa mahakamani na kufunguliwa kesi,swali langu ni kwamba zile kesi ziliishia wapi?au uchunguzi unaendelea????kwa mwenye taarifa tafadhali.
 
Back
Top Bottom