Marire JF-Expert Member Joined May 1, 2012 Posts 12,333 Reaction score 5,314 Jul 2, 2015 #1 Si ndio wanasema ni ------ inakuweje kazama humo?
Marire JF-Expert Member Joined May 1, 2012 Posts 12,333 Reaction score 5,314 Jul 2, 2015 Thread starter #2 Nyingine hii hapa Attachments 1435829855144.jpg 6.8 KB · Views: 1,183
Ngongo Platinum Member Joined Sep 20, 2008 Posts 21,371 Reaction score 37,908 Jul 2, 2015 #3 Nasikia jina lake halisi ni Bakari msome Vuta NIKUVUTE vizuri.
Kigogo JF-Expert Member Joined Dec 14, 2007 Posts 20,508 Reaction score 6,199 Jul 2, 2015 #4 Ngongo said: Nasikia jina lake halisi ni Bakari msome Vuta NIKUVUTE vizuri. Click to expand... Kumbe anaitwa beka
Ngongo said: Nasikia jina lake halisi ni Bakari msome Vuta NIKUVUTE vizuri. Click to expand... Kumbe anaitwa beka
saimon111 JF-Expert Member Joined Apr 5, 2012 Posts 1,736 Reaction score 1,359 Jul 2, 2015 #5 Duh haya madaraka yatafanya watu wakufuru
MOTOCHINI JF-Expert Member Joined Jan 20, 2014 Posts 29,097 Reaction score 35,475 Jul 2, 2015 #6 Watakwenda na kule kusiko tazamiwa
H hippocratessocrates JF-Expert Member Joined Jul 1, 2012 Posts 3,598 Reaction score 1,545 Jul 2, 2015 #7 Watu(watangaza nia) wangekuwa wanajali wananchi wao hivi wakati wa uongozi nchi hii ingekuwa mbali sana.
Watu(watangaza nia) wangekuwa wanajali wananchi wao hivi wakati wa uongozi nchi hii ingekuwa mbali sana.
Ramadhan Kidamane Member Joined Jul 1, 2015 Posts 7 Reaction score 0 Jul 2, 2015 #8 Kwel kabisa hali za watanzania ni ngumu
Miunda JF-Expert Member Joined Aug 26, 2014 Posts 530 Reaction score 183 Jul 2, 2015 #9 hippocratessocrates said: Watu(watangaza nia) wangekuwa wanajali wananchi wao hivi wakati wa uongozi nchi hii ingekuwa mbali sana. Click to expand... Wala wasinge fika msikitini kuhubiri siasa wala kanisani kama wangelikuwa wanajali wananchi,
hippocratessocrates said: Watu(watangaza nia) wangekuwa wanajali wananchi wao hivi wakati wa uongozi nchi hii ingekuwa mbali sana. Click to expand... Wala wasinge fika msikitini kuhubiri siasa wala kanisani kama wangelikuwa wanajali wananchi,
foxyizafa JF-Expert Member Joined Jun 5, 2015 Posts 224 Reaction score 56 Jul 2, 2015 #10 Ngongo said: Nasikia jina lake halisi ni Bakari msome Vuta NIKUVUTE vizuri. Click to expand... huyu bwana Baqary mbona nimwenzetu ktk imani nashangaa kwanini anajificha huku mitaa ya home kunandugu zake wadamu wamethibitisha kama ubin anaotumia niupande wa mamayake.
Ngongo said: Nasikia jina lake halisi ni Bakari msome Vuta NIKUVUTE vizuri. Click to expand... huyu bwana Baqary mbona nimwenzetu ktk imani nashangaa kwanini anajificha huku mitaa ya home kunandugu zake wadamu wamethibitisha kama ubin anaotumia niupande wa mamayake.
charty JF-Expert Member Joined Oct 28, 2013 Posts 7,460 Reaction score 6,003 Jul 2, 2015 #11 Bado kwa sangoma na makaburini..maana huko wanaenda lakin hawapigi pichaa
Mfamaji JF-Expert Member Joined Nov 6, 2007 Posts 6,629 Reaction score 1,951 Jul 2, 2015 #12 Bakari aka Bernad. Kazi ipo mwaka huu.