Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,939
- 43,573
chadema hawataki maridhiano ya amani...
chadema wanataka vita.
chadema hawataki maridhiano ya amani...
Chadema hawataki maridhiano ya amani...
chadema wanataka vita.
hahaha! maaskofu mashekhviongozi wa dini maaskofu mashekh
Ndani ya viwanja vya stadium Arusha viongozi wa dini maaskofu mashekh na viongozi wa vyama vya siasa wametoa rai
Kwa msajili wa vyama aifute chadema kwani hawataki Amani nandiyo maana leo wameigome siku ya leo
Labda ningependa kujiua hawa wanaojiita viongozi wa dini huku maana halisi ya wanachokisimamia hawakijui wakati wa tukio la mlipuko wa BOMU katika ule mkutano wa CHADEMA pale soweto walitoa tamko gani? na hili la juzi la kuchomwa ofisi ya CHADEMA wametoa kauli gani? baada ya kuchinjwa mwenyekiti wa CDM pale Usariver huku watuhumiwa wakitoroshwa na Polisi ha wa jamaa walitoa kauli gani? Hawa wanaojiita viongozi wa dini wanatakiwa watambue CHADEMA inahitaji majibu kwanza kutoka katika vyombo vya usalama kabla ya kuingia kwenye majadiliano ya maridhiano
Lema Ana sura nyingi sana.
Kuna mtu alisema alikuwa jambazi ni ya kweli mkuu?
Embu ajaribu kuifuta CHADEMA kama hajatangulia kufutwa yeye, amuulize Tendwa kilichomkuta mara baada ya kutangaza kuifuta chadema
Lumumba buku 7 leo ni mwanzo ya wikiend hamjashikishwa mshiko nini?
Naona mnawanga mpaka macho imewavimba!
Usukule mbaya jamani!
Mwenyekiti wa CCM Arusha Ole Nangole
kazomewa mbaya kwenye kongamano la
amani Arusha alipoanza kumsifu RC Mulongo
na meya Lyimo. Ilikuwa baada ya msajili jaji
mutungi kufungua mkutano viongozi wa dini
na vyama vya siasa walikuwa wanapewa dk 4
kusalimia ndipo ilipofika zamu ya ccm ole
nangole akasisitiza umuhimu wa kulinda
amani kwaa maendeleo akasema hata wakati
wanasiasa tukizozana na kuandamana rc na
meya walikuwa wanachapa kazi is mnaona
barabara za lami kila mahali maji taa
barabara zote watu waliokuwa wamekaa kulia
kwa jukwaa wakaanza kuzomea kwa sauti
ikabidi asiendelee ashukuru akarudisha kipaza
sauti kwa mc